HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA KUMI NA TISA
Anelia alisogea sehemu ambayo ilikuwa na picha kubwa akiwa yeye na mwanaume huyo akiwa anashusha chozi kwa mbali, ni wazi hisia za mapenzi zilishindikana kabisa kuzuilika ndani ya moyo wake na alihisi kusalitiwa pakubwa sana kama hayo ambayo yalikuwa yanaongelewa hapo yalikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments