HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA ISHIRINI
"Nahisi hata wazazi wangu hawakufa kifo cha kawaida, huenda kuna mambo nafichwa hapa hivyo nitamuuliza bosi kwa mara nyingine na kama asiponipa jibu la kueleweka basi kwenye hii kesi ya Remy ndio utakuwa mwanzo wangu wa kuchunguza kilicho tokea. Huu unakuwa mwanzo wangu mpya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments