Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

INVISIBLE 

A Story by Elton Tonny

Familia, Kazi, Urafiki, Mapenzi, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa. 

Rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★

 SEHEMU YA PILI

★★★★★★★★★★★★★

Baada ya tukio lile, nilijiuliza ikiwa ingekuwa sawa kwenda kazini maana nilikuwa nimeumia begani na laptop yangu ilivunjwa vibaya. Pia nilianza kufikiria kuhusu mambo mengi niliyokuwa nimetunza ndani ya laptop yangu; sasa nilikuwa nimeyapoteza. Lakini nilijikaza na kuamua kwenda kazini hivyo hivyo, nikiiweka akili yangu sawa kuwa ningemweleza bosi kilichotokea ili kama ikiwezekana aniruhusu nikapumzike nyumbani. Upande mmoja, nilifurahi kwamba nilitenda kwa uharaka na kuokoa mtu, lakini upande mwingine nilihisi huzuni kiasi kwa kuwa movie zangu zilikuwa zimeenda hivyo.

★★

Nilifika ofisini na kukuta wafanyakazi wengi wameshafika. Justine aliponiona, alinifata huku akinitazama kwa mshangao.

"Tristan vipi? Mbona nguo zako zimechafuka? Uliamkia wapi?" aliniuliza.

"Nimekumbana na ajali ndogo njiani," nikamwambia kwa ufupi.

"Ajali gani?"

"Kulikuwa na mwanamke mzee akivuka barabara, sasa... hakuona gari likiwa linakuja kwa kasi, kwa hiyo nikamsaidia ili asigongwe."

"Dah! Umeumia?"

"Siyo sana. Ila nafikiria niombe ruhusa tu nikapumzike."

"Mh... mhm, kama utapewa sasa."

"Hata akikataa haina shida. Nitafanya kazi muda ukifika ndo' nitaondoka."

"We nae unajitafutia tu majanga. Ulilazimishwa kujiingiza kwenye ajali za watu?" akaniuliza.

"Ish! Kwa hiyo ulitaka nimwache mama wa watu afe?"

"Me nikafikiri labda uliyemwokoa ni demu, kumbe mbibi! Asa' huyo si anakufa kesho tu... umemwokoa kazi bure!" akasema.

Nilijua Justine alikuwa anatania tu hivyo nikacheka kidogo huku natikisa kichwa. Angalau Justine alikuwa mtu ambaye hata kama kungekuwa na pindi zenye mikazo, angezigeuza ziwe zenye kufurahisha kidogo.

"Mnapenda sana kupiga story badala ya kufanya kazi." 

Ilisikika sauti ya mwanamke pembeni yetu ikisema maneno hayo, na sote tukaitambua haraka. Tuligeuka na kukuta ni mwanamke tuliyemfahamu vizuri sana. Alikuwa ni nwanamke mnene kiasi mwenye miguu ya bia, aliyevalia gauni fupi za gharama zilizoishia kwenye magoti kama kawaida yake. Alikuwa bosi wetu. 

Kampuni tuliyofanyia kazi ilikuwa ni kampuni ya mitandao, na yeye alikuwa ndiye CEO wetu. Alikuwa mwanamke mwenye kuvutia usoni, lakini kila jambo kuhusu jinsi alivyowatendea wafanyakazi wa hapa lilichukiwa sana. Alipenda kuchunguza-chunguza mambo sana na kukosoa-kosoa hata masuala ambayo hakuyajua vizuri sana ukilinganisha na wale walioyasomea. Mimi, Justine, na wengine wachache tulikuwa kwenye kitengo cha masuala ya networking; kuhakikisha 'server' za mitandao zinakuwa na usalama na mambo mengine pia. 

"Boss, nilikuwa namwangalia Tristan hapa. Ameumia kidogo baada ya kupata ajali," akasema Justine kwa kujitetea maana alihisi timbwili lingeanza.

"Kwa hiyo kama kaumia yeye, wewe inakufunga mikono?" boss akamuuliza.

Justine alikaa kimya kisha tukatazamana kwa yale macho ya 'haya sasa.' 

Boss akaanza kutusogelea huku akitembea kimadoido. Alipenda sana sikuzote kujionyesha kwamba alikuwa juu ya kila mtu, hivyo angefanya na kusema lolote lile kwa walioajiriwa hapo.

"Get out of my sight," akamwambia Justine baada ya kutufikia karibu.

Justine alianza kuondoka alipofukuzwa namna hiyo lakini niliweza kuona mkono wake alioubana upande wa paja lake ukiwa umekiinua kidole cha kati kumwelekea boss. Nilijikaza nisicheke kwa kuwaza kwa nini hakumfanyia hivyo usoni kabisa. Boss alianza kunishusha na kunipandisha huku sura ameikunja kama anahisi kinyaa.

"So, leo ukaamua kuja kazini mchafu, si ndiyo?" akaniuliza.

"Aam... samahani kwa kuja nikiwa hivi, ila angalau nimewahi..." 

Nilisema hivyo na yeye kukunja uso wake asiweze kunielewa.

"Namaanisha kwamba... ulishaweka sheria kuwa hatupaswi kukosekana hata siku moja na haungejali sababu zisizokuwa na kichwa wala miguu," nikamalizia.

"Hujajibu swali langu. Nimekuuliza leo umeamua kuja kazini mchafu?" 

Aliuliza kwa sauti kubwa sana kiasi kwamba watu wengi pale waliokuwa wakiendelea na shughuli zao, waliacha na kuanza kuangalia nini kinaendelea.

"Hapana. Nilikuwa nakuja kazini ila nikapatwa na ajali ndogo," nikamwelezea.

"Ajali? Ajali gani? Unaijua ajali wewe? Mbona sijaona mguu wako umeng'oka? Unaleta ujanja siyo?" aliendelea kunifokea.

Nilikuwa nimeshamzoea kwa tabia yake ya kupenda kufoka-foka na tayari nilijua sababu iliyomfanya awe hivyo. Haikuwa kwa sababu tu alitaka kujionyesha kuwa ana mamlaka, bali alisumbuliwa na mikazo mingine mingi nje ya kazi. Hivyo ilikuwa kama anatafuta sababu ya kuzimwagia stress zake sehemu yoyote ile ambayo angepata nafasi ya kufanya hivyo. Angetoa maneno makali wakati mwingine ambayo yalisababisha baadhi ya wafanyakazi kipindi cha nyuma kuacha kazi wenyewe. Na hata kufikia sasa, wengi walimvumilia kwa kuwa kazi zilikuwa haba sana.

Aliendelea kuniambia jinsi gani uzembe na utovu wa nidhamu unavyoiharibia sifa kampuni yake. Kihalisi, haikuwa kampuni yake kabisa, bali ya baba yake ambaye alikuwa amesonga kiumri na kwa wakati huu alipumzika nyumbani na kumwachia binti yake huyo aiongoze. Niliona nikae kimya tu wakati akiendelea kunirushia lawama. Mwisho wa siku akaondoka, nami nikaelekea upande niliokaa kiofisi huku watu kadhaa wakinipa pole ya ajali na majungu ya boss.

"Oya mwanangu, hivi kweli unamwachaje mwanamke anakudhalilisha namna hiyo?" akaniuliza Justine.

"We' ungefanyaje?" nikamuuliza.

"Ningemkata ngumi ya taya huyo! Anajifanya eti Beyoncé fulani hivi... huwa natamani nilibabue kofi hilo tako lake mpaka liwe kama sahani ya bati!"

Nilicheka kidogo na kisha nikamuuliza, "Mbona hukufanya hivyo muda ule amekufukuza sasa?" 

"Aaah... ana bahati tu kwamba ulikuwepo, ma'ake najua usingeruhusu nimpige."

"Wewe huyo umpige? Huwezi hata kuua mende tu, utamgusa huyo?" 

"Aaaaa... unazingua bwana, hivi unanionaje?"

Nikacheka tu na kisha kuendelea na kazi. Maumivu niliyohisi begani yaliendelea kuongezeka kadiri masaa yalivyopita, lakini niliendelea kujikaza. Bado tukio la asubuhi lilikuwa kichwani kwangu, nikiwaza yule mwanamke mzee alielekea wapi ghafla. Ilifika mida ya saa saba na ilikuwa wakati wa chakula cha mchana. Niliketi na Justine kwenye viti vya mgahawa mmoja tuliopenda kwenda mara nyingi.

"Oy vipi, hivi ulifanikiwa?" akaniuliza.

"Kufanikiwa nini?" 

"Nilikwambia unisogezee Salma. Umeshaipata namba yake?" 

Nikakumbuka mambo yote yaliyotokea jana usiku baina yangu na Salma baada ya Justine kuuliza hivi. Niliangalia chini na kutabasamu kidogo, kisha nikamwangalia tena usoni.

"Hamna, sikuipata namba yake," nikamwambia.

"Aagh... kwa nini sasa nawe?"

"Ilikuwa usiku... ningeenda tu ndani kwao na kuwaambia wazazi wake 'samahani, namhitaji Salma mara moja' au? Unataka kunitaftia kifo?" nikamwambia huku nikificha kihalisi ukweli wenyewe.

"Komaa naye sasa. Upate hiyo namba, au siyo?" akaniambia huku anabugia tonge la ugali.

Nilimtazama na kushindwa kujizuia kucheka kidogo. Hapa bado jamaa yangu anahitaji nimtengenezee mitambo huku mimi mtengeneza mitambo nimeshaharibu mtandao. Niliona kama simtendei haki kwa kumficha kilichotokea, ila nisingeweza kumwambia. Baada ya kushiba tulirudi ofisini kuendelea na kazi. Sikuzote tulikuwa na muda uliowekwa wa kutoka saa kumi na moja jioni, lakini mara kwa mara tungekaa na kufanya kazi za ziada mpaka usiku. Kulikuwa na zamu mbili; za walioingia mchana ndiyo iliyokuwa yangu, na zile za walioingia usiku.

★★

Ilifika mida ya saa tisa alasiri hivi. Simu yangu ilitoa mlio wa meseji na baada ya kuiangalia, nilikuta namba ngeni na ujumbe uliosomeka 'Mambo.' Sikuweza kukisia kwa haraka ingekuwa ni nani lakini kwa jinsi nilivyokuwa bize, nikaiweka chini na kuendelea na kazi. Hazikupita dakika nyingi sana, na namba ile ile ikatuma tena ujumbe. Niliitoa lock simu ili kuiangalia na kukuta text iliyosomeka 'mie ni Salma. Uko poa Tristan?'

Nilifurahi sana baada ya kuisoma lakini kwa wakati huo huo nilishangaa kidogo kuhusu ni wapi aliipata namba yangu. Haraka nikapumzisha mikono kutokana na kazi kwenye computer ili niweze kumjibu mtoto.

'poa tu Salma. Mzima wewe?' nikamwandikia.

'ndiyo me mzima,' akajibu.

'sikumbuki kama nilikupa namba jana umeitoa wapi?'

'nimeichukua kutoka kwenye simu ya baba'

'oh kumbe.. basi poa. Nimefurahi sana baada ya kuliona jina lako'

'asante 😊'

'baada ya wewe kuondoka jana, nilianza kujilaumu kwnn nilisahau kukuomba namba. Ila angalau umenipata'

'ndiyo nilikumiss sana ikabidi nitafute njia ya kuipata yako'

'una kichwa kizuri sana we mrembo'

'😊😊 asante. bado uko kazini'

'ndiyo.. yaani pako tight kweli'

'sawa pole. Kun sehm nilikuw nimeenda leo asubuh ndy nimerudi. Nna ham san ya kukuona tena'

Kufikia hapa nilianza kutambua kuwa Salma alikuwa mwanamke aliyejua kujieleza vizuri sana. Hakuogopa hata kidogo kusema mambo aliyofikiria na kuhisi kunielekea. Nikajua tu hapa nimepata binti mtaalamu wa mapenzi.

'Mimi pia Salma. Nafikiri kama itawezekana tutaonana jioni,' nikamwandikia.

'wapi,' akauliza.

Kwa akili yangu, nilipomwambia kwamba "ikiwa itawezekana," nilimaanisha pale nyumbani. Lakini baada ya kuona ameuliza "wapi" nikatambua kuwa alikuwa anataka tuonane sehemu nyingine tofauti na nyumbani. Bila shaka alikuwa akinitaka nitafute sehemu nyingine ambayo tungekuwa binafsi.

'popote tu utakapojiskia,' nikamwandikia.

'leo utatok sa ngp,' akauliza.

'sa11'

'OK. me natok mida ya sa12 hap home. Nimeaga naenda kwa rafik na nitachelew. Natak niwe p1 nawe kwa muda huo,' akaandika.

'sawa usijali. Nitakuelekeza mahali tutakapokutana. Kuna sehem nzur tutaenda,' nikamwandikia.

'okay nimeelewa'

'poa. Wacha niendelee na kazi nitakushtua badae'

'aya poa.'

Tukatumiana na viemoji vya upendo kutia muhuri penzi letu jipya.

Baada ya kumaliza pindi hiyo yenye kuchangamsha hisia, sasa akili yangu ilikuwa ikijiseti ili kutafuta mahala na mambo mazuri ambayo yangemfurahisha Salma. Niliwaza kuwa huenda bega lingeendelea kusumbua, lakini ningejikaza kiume endapo mtoto angetaka show ya kibabe. Na nilijua aliitaka. Nilikuwa nafahamu sehemu kadha wa kadha ambazo ningeweza kumpeleka, na hatimaye akili yangu ikaridhika baada ya kufikiria moja, iliyokuwa sehemu maridadi sana.

★★

Baada ya saa za kazi kuisha, nilinyanyuka ili nijiunge na Justine tuelekee nyumbani. Maumivu bado yalikuwepo, lakini sasa ni kama mwili ulikuwa umeyazoea. Justine aliniambia twende pamoja sehemu fulani tunywe kidogo, lakini nikamwambia nilikuwa na mipango mingine, huku akiwa hana habari kuwa mipango hiyo ni ngai yake niliyoichukua. 

Ilikuwa ni wakati tulipoachana na Justine ili apande usafiri ulioelekea kwao pale nilipoanza kuhisi nachomwa kwa ndani upande wa moyo wangu. Ilikuwa ni kama moyo wangu ndiyo ulichomwa, na maumivu hayo yakawa yanapungua, yanaongezeka, yanapungua, yanaongezeka, lakini mwishowe yakaacha. Nilijiuliza ni nini hiki kilichokuwa kikitokea, lakini hakukuwa na muda wa kuendelea kuwaza sana. Nikaona nipotezee ili nielekee kwenye mipango yangu na Salma kwa jioni hiyo.

Nilijua bila shaka Salma angetaka kuwa pamoja nami sehemu ambayo ingemfanya awe huru. Hivyo, nilikuwa nimetafuta hoteli fulani kubwa sana ili nichukue chumba pale kwa ajili yetu. Sikufikiria kumpeleka Salma sehemu kama gesti maana hazikunipendeza hata kidogo. Baada ya kumaliza kuchukua chumba, nilipewa funguo na kuambiwa muda wa kukaa ungeisha kesho wakati kama huu, kisha wakaandika taarifa hizo kwenye daftari.

Baada ya kuingia, niliridhika sana. Kilikuwa kipana na kulikuwa na vitu vingi vizuri; kitanda kikubwa sana, sofa mbili na meza, TV kubwa ya flat screen ukutani, na mlango ambao ndani yake ilikuwa bafu (shower) na choo cha kukaa. Kilipendeza sana hasa kwa kuwa madirisha yalikuwa makubwa, yaliyowekewa mapazia marefu. Kilikuwa kwenye ghorofa ya nne ya hoteli hii, nami nilipigia picha jinsi ambavyo tungevuruga kitanda kile na Salma.

Nilitazama saa na ilikuwa saa 12 kasoro sasa. Bila kuchelewa, nikaondoka kwenye hoteli hiyo na kuelekea kwenye maduka ya nguo. Nilifika hapo kununua shati moja, T-shirt, bukta na suruali mpya. Baada ya kupata zilizoniridhisha, nilitoka na kum-text Salma 'my,' kisha nikaelekea hotelini kule. Alijibu muda mfupi baadae na kuniambia alikuwa anajiandaa. Nikamwambia kuwa alipaswa kuchukua bodaboda na kumwelekeza ampeleke mpaka maeneo ambayo angenikuta namsubiria. Alitii, kisha nikamwacha amalize kujiandaa. Nilifika kwenye chumba changu cha hoteli na kuvua nguo nilizovaa tokea asubuhi na kisha kujimwagia maji. Nikavalia T-shirt na bukta ile niliyonunua muda mfupi uliopita baada ya kutoka bafuni.

Kiukweli, sikudhani kama ningefika huku na Salma, lakini mambo yalijijenga kwa njia ambayo ilipendeza. Mambo ambayo sikuwa nimetaka kufanya kwa muda mrefu, sasa yakawa yanatendeka. Ilinichangamsha sana. Nilimpigia simu baba mwenye nyumba, baba yake Salma, na kumwambia kuwa singeweza kurudi nyumbani leo kutokana na kupatwa na dharura. Alinipa pole kwa kuwa nilimwambia kuwa nilipata ajali ndogo iliyofanya nimwone daktari hospitali, hivyo ningelala huko, bila yeye kujua namleta mwanaye hotelini kumsonsomola!

Basi, baada ya kama nusu saa, Salma alifikishwa na bodaboda sehemu ile niliyomsubiri. Alivalia kwa heshima sana; baibui refu jeusi lililokuwa na viurembo vya rangi ya dhahabu vilivyomeremeta, ushungi wa samawati (blue) ulioufanya uso wake mweupe ujichore kimviringo, na alishika mkoba mdogo pia. Alimlipa bodaboda yeye mwenyewe kabla sijasogea karibu kufanya hivyo. Nikamwambia angeniacha tu nilipie, lakini akasisitiza ilikuwa sawa akilipa.

Aisee, nilipenda sana harufu yake. Alinukia kila kona! Yaani kila pumzi niliyovuta, nilivuta tu harufu yake. Nilimkumbatia baada ya bodaboda kuondoka, kisha tukaanza kuongozana taratibu huku tukipiga story. Tulipofika mbele ya hoteli ile, alisita kidogo huku akiniangalia kwa maswali. Akaniuliza kama tulipokuwa tukielekea ni hapo, nami nikamhakikishia kuwa ndiyo, ilikuwa hapo. Alionekana kuwa hakutegemea ningempeleka sehemu kama ile, lakini akaongozana pamoja nami mpaka ndani.

Tulipofika juu, nilifungua mlango wa chumba na kumkaribisha ndani. Alikuwa haonyeshi kushangaa-shangaa kama mshamba vile, lakini bado alinitazama kimaswali sana.

"Karibu mrembo. Jisikie uko chumbani," nilimwambia na kutabasamu kidogo.

"Hiki chumba na hii hoteli kwa ujumla... vinaonekana vya gharama sana. Umelipia shingapi?" akaniuliza.

"Aam... ni elfu sitini kwa siku." nikamwambia.

"Elfu sitini? Acha masihara basi!" akashangaa.

"Yeah. Ndiyo bei yake. Siunaona hivi vitu vilivyokaa humu, ni kama wameviiba kwa wazungu."

"Em' subiri kwanza Tristan... unataka kuniambia umetoa elfu sitini kwa ajili ya chumba cha siku moja tu?" alionekana kushangaa bado.

Nikamjibu, "Ndiyo. Na hata ukipenda, siyo lazima iwe siku moja tu. Tunaweza kuja kila siku," nikasema huku nikimkonyeza.

"Hiyo hela yote ya kuja kila siku utaitoa wapi?"

"Iih... hivi sikukwambia? Nafanya kazi!" nikamtania.

Akacheka kidogo na kusema, "Sijui nichukulieje yaani... sikutarajia hivi kabisa."

Nikamsogelea karibu zaidi na kumshika kiunoni huku nikimtazama machoni na kusema kwa sauti ya chini, "Ukiwa nami, we' jiachie tu, na mimi nitakufurahisha." 

Alitabasamu na kubana midomo yake. Nilipenda sana alipofanya hivyo.

Akauachia mkoba wake ukadondoka chini, kisha akazungusha mikono yake shingoni kwangu. Nilianza kuipeleka midomo yangu karibu na ya kwake, nasi tukapeana denda laini. Nikaushusha mkono wangu mmoja hadi kwenye kalio lake na kuanza kuliminya huku yeye akinizungushia mikono yake kichwani. Tuliendelea kudendeshana hivyo kwa dakika kama mbili tatu hivi, huku mwili wake ukiwa umeubana wangu kwa mbele na kufanya aihisi mashine yangu iliyokuwa imevimba.

Nikaanza kumvuta taratibu kuelekea kitandani na kukifikia kisha kukidondokea pamoja. Tuliendelea kunyonyana ndimi na sasa nilikuwa naliminya-minya titi lake la kushoto huku yeye akiwa anaichezea mashine yangu ngumu ikiwa ndani ya bukta bado. Akajinyanyua na kuitoa baibui yake pamoja na ushungi aliovaa. Sasa akawa amebaki na sidiria nyeupe na nguo ya ndani aina ya thong (kandambili), na kuniacha nimebaki kuutazama mwili wake kwa matamanio. Aliikunja mikono yake nyuma ya mgongo wake na kuifungua sidiria yake, kunionesha mapacha wake wawili walionisisimua sana. Alikuwa anataka kuanza kuitoa nguo yake ya ndani, lakini nikamzuia.

"Subiri. Nataka nije niitoe mwenyewe," nikamwambia.

Alitikisa kichwa kukubali kisha akalala kitandani tena. Nilimbusu kwenye midomo yake kwanza, kisha paji la uso, masikio, mabegani na shingoni. Alitoa miguno pale nilipoanza kushuka chini nikimlamba na kunyonya matiti yake. Nilinyonya chuchu zake huku nikifanya kama nazibana kwa meno  na kuzivuta kisha kuziachia. Nilimnyonya vyema mpaka zikawa ngumu na matiti yake kutuna zaidi. Nilibusu tumbo lake na kulamba kitovu chake, kisha kuelekeza ulimi wangu uzungukie kiuno chake kwa mbele. Alikuwa akitoa pumzi iliyotetema kiasi huku akinyonga kiuno chake pale nilipoweka kiganja changu juu ya kitoweo chake kilichofunikwa na kinguo alichovaa. Nikasogeza tena uso wangu hadi karibu na wake kisha nikamnyonya ulimi wake.

"You look very sexy Salma," nikamwambia.

Akatikisa tu kichwa huku macho yake yakirembua. 

Nilijua sikupaswa kuchukua muda mrefu sana nikifanya tomasa (foreplay), maana bila shaka angehitajika kurudi kwao na sasa usiku ulikuwa umeingia. Lakini angalau kufikia hapa nilikuwa namemwandaa vyema. Nikashusha uso wangu mpaka kwenye mapaja yake na kuanza kuyabusu na kuyalamba. Sijui alikuwa akipulizia perfume hadi huko chini maana harufu ile nzuri iliingia puani mwangu vyema. Niliendelea kumlamba huku nikiivuta nguo yake ya ndani mpaka kuitoa yote na kuitupa pembeni. Kitoweo chake, kilichokuwa kimesafishwa unywele vizuri, kilionekana kuvimba kama kitumbua vile. Nilisisimka sana!

Kufikia wakati huu, alikuwa akinyonga-nyonga mwili wake huku akitoa miguno ya raha, na sasa nikaiinua miguu yake juu na kuisambaza hewani huku nimeshika mapaja yake kwa chini. Kisha nikapeleka uso wangu katikati yake na kuanza kukilamba kile kimnofu. Kadiri nilivyoendelea kuuzungusha ulimi wangu kwa juu, ndani na nje, alipagawa sana. Haikuchukua muda mrefu, naye akarusha juisi zake za moto huku bado nikiendelea kumnyonya. Mwili wake ulitetemeshwa kwa sekunde chache kisha akatulia. Alikuwa akipumua kama ametoka kukimbizwa.

Nikajinyanyua na kuanza kuvua nguo. Nilitoa zote na sasa mashine yangu iliyokuwa imesimama kwa muda mrefu ikawa wazi, ikiwa na kila utayari kwa ajili ya pambano.

Nikasogeza uso wangu karibia na wake kumpa tabasamu, yeye pia akitabasamu, na bila kuchelewesha, akaichukua mashine na kuanza kukizungushia kichwa cha mashine juu ya kitoweo chake cha moto. Hisia niliyopata ilikuwa nzuri sana hapo. Aliiingiza ndani yake na sote tukatoa miguno ya pumzi kwa midomo. Alitoa miguno ya sauti nilipoanza kusugua sasa taratibu, huku akipeleka ulimi wake ndani ya mdomo wangu na kuuzungusha taratibu pia. 

Muda si mrefu nilianza kuongeza kasi, huku akitoa miguno ya raha na maneno ya kiarabu. Ningesikia mara 'Tristan nskaksvsub...' 'Jsjsgakisv Tristan...' na sikuelewa lakini kwa kuwa jina langu lilitajwa, basi me nikajua tu nasifiwa. Nilimsugua kwa mikao tofauti zaidi ya mitano, na sasa nilipokuwa nimesimama pembezoni mwa kitanda huku miguu yake nimeiweka mabegani nikimsugua kwa bidii, nilianza kuhisi moyo wangu unachoma tena. Alikuwa anaguna kwa sauti huku macho ameyafumba, hivyo hakuweza kuniona wakati nilipokuwa nimekunja sura kutokana na maumivu niliyohisi. Sikuelewa kwa nini niliumia hivi, lakini kichomi hiki kilizidi kuongezeka.

"Sssss... aaaagh!" 

Nilitoa sauti hiyo ya juu kiasi baada ya kuchomwa hata zaidi. Nikashindwa kuendelea na kuiweka miguu yake pembeni, kisha nikajilaza chali kitandani huku nikijitahidi kuficha maumivu niliyohisi.

"Stan... are you okay?" akaniuliza Salma kwa kujali sana.

"Yeah, I'm okay," nikajibu huku najikaza.

"Umechoka?" akaniuliza.

"No. Kama Captain America anavyosema... 'I can do this all day,'" nikamtania kidogo. 

Akatabasamu kilegevu.

Nikajituliza kidogo na kumuuliza, "Nataka ufanye cowgirl. Unajua cowgirl?" 

Alitikisa kichwa kukubali kisha akanipiga busu. Akajinyanyua na kuketi taratibu juu yangu, akiingiza mashine yangu ndani yake. Sikuzote nilipenda kuhakikisha kuwa mwanamke anaridhika endapo ningefanya mapenzi naye. Hivyo, nilikuwa nimeazimia kujikaza tu kiume kutokana na maumivu niliyohisi kwenye moyo wangu mpaka nimfikishe Salma alipotaka. Alikuwa akipandisha na kushusha kiuno chake taratibu huku akitoa miguno. Alianza kuongeza kasi huku akikizungusha kiuno chake ili mashine imsugue vyema pande zake zote za ndani. Akafikia mshindo wake wa pili na kitoweo chake na mwili wake kutetema. Akaniangukia kifuani akipumua kwa uchovu, na kuridhika pia.

Kwa upande wangu, nilifurahi kuwa angalau alipata raha aliyoihitaji, lakini mimi haikuwa hivyo. Kichomi hiki kilikuwa kimeniharibia usiku wangu kabisa! Hili ni jambo nililohitaji sana kunituliza hasa ukitegemea na mambo yote yenye kuvunja moyo niliyopitia leo. Lakini pamoja na yote, nilijitahidi kuwa na amani moyoni, kwa ajili ya Salma.

Tulikaa vile akiwa amenilalia kwa juu na mashine yangu ikiwa imerudi ndani yake, naye akawa anaikatikia taratibu. 

"Uliniita Stan?" nikaanzisha maongezi huku nikisikilizia kichomi kile kilichokuwa kikipungua.

Akanitazama na kuniambia, "Ndiyo. Nimefupisha kutoka kwenye Tristan."

"Ooh... sawa."

"Au hujapenda?"

"Hapana. Ni... ni zuri," nikajibu huku nikijaribu kukaza kichomi.

"Asante sana kuwa nami Stan. Nafurahi sana kila nikiwa nawe," akasema.

"Anytime." 

Tukapiga busu na kisha kuanza kunyanyuka ili ajiandae kurudi nyumbani. Bado kichomi kile kwenye moyo wangu kiliendelea, mara kwa mara, lakini sikumwambia Salma hilo. Tulitoka na kuelekea chini sehemu waliyouzia chakula mule mule hotelini. Nilinunua na sote tukala. Kufikia hapa maumivu ya kichomi sikuyahisi sana.

"Kidogo bado nashangaa umegharamika sana namna hii kwa ajili yangu," akasema Salma wakati tukiondoka kwenda kumtaftia usafiri arudi nyumbani.

"Kwa nini unashangaa sana?" nikamuuliza.

"Well, kama unaweza kutoa pesa nyingi namna hiyo inayoipita hadi ile ya chumba ulichopanga kwa mwezi kwa ajili ya siku moja tu, inaonekana unapenda kutupa pesa sana," akaeleza.

Nikacheka kidogo, kisha nikamwambia, "Hapana. Ni kwamba tu sikuwa nimefanya date tokea muda mrefu sana, hivyo, nilitaka nikupe kilicho bora... nikufurahishe. Au hupendi vitu vya namna hii?"

"No, nimependa sana. Una... style nzuri. Nimefurahi sana," akasema na kisha kunibusu shavuni.

Baada ya kupata usafiri, tuliagana kwa mara nyingine kisha akaondoka. Nikarudi chumbani kule na kujimwagia maji kisha kujiangalia kwenye kioo. Nilikuwa nimechoka. Nilitarajia huu usiku ungeniachia furaha kubwa, lakini sijui kwa nini tu nilihisi kushuka moyo. Nikarudi kitandani na kujilaza huku maumivu ya begani nikiyasikia bado. Sikuwa hata na hamu ya kuwasha TV ile. 

Baada ya dakika chache, Salma alinijulisha kuwa alifika nyumbani, nasi tuka-chat kidogo mpaka alipotaka kwenda kulala. Kwa kuwa sikuwa na hamu na kufanya lolote, niliamua tu kwamba ningelala mapema na kuamkia kazini kesho. Kwa mara ya kwanza ndani ya muda mrefu sana ningelala saa nne!


★★★


Nilikuja kuamka kutoka usingizini na kujikuta niko katikati ya msitu, usiku. Nilinyanyuka na kuanza kuangalia huku na kule nikihofu, na sasa nikaanza kusikia sauti za miungurumo karibu na nilipokuwa. Nilianza kuingiwa na wasiwasi, kisha nikahisi mkono ukinishika na kuanza kunivuta kwa nguvu. Sikuweza kumwona huyu mtu usoni, lakini alikuwa ananivuta tukimbie huku akisema 'kimbia' mara kadhaa. Sikuwa na ujasiri wa kugeuka nyuma kuangalia tulichokuwa tukikikimbia, hivyo nikawa natoka kwa spidi zote kumfata mtu huyu. 

Ghafla, alidumbukia kwenye shimo refu sana, nami nikaishia juu kumtazama. Sauti zile za muungurumo ziliongezeka, nami nikatambua hiki kitu kilichounguruma kilikuwa karibu sana sasa. Nilimwangalia mtu yule aliyedumbukia ndani ya shimo hilo, na alikuwa akiita kwa sauti, "Tristaan... niokoeee!"

Sikuweza kuuona uso wake vizuri, kisha mvua ikaanza kunyesha huku nikikosa la kufanya ili kuweza kumtoa. Niliinama na kuunyoosha mkono wangu ili umfikie, na sasa nikaweza kuuona uso wake. Uso wake... ulikuwa wangu! Sura yangu kabisa! Nilishangaa sana, naye akaendelea kusema kwa sauti 'niokoeee' huku nikiwa siamini nilichokiona. Lakini tena ghafla sauti yake ikaanza kuwa kama ya mvulana, siyo mwanaume, mvulana. Aliita kwa nguvu mara ya mwisho "Tristaaaan!"

Nilishtuka kutoka usingizini ghafla na kujinyanyua huku nikiangalia huku na huko. Nilipumua kwa kasi kiasi, na nililowana jasho kutokea kichwani hadi kifuani. Nikatambua kwamba bado niko kitandani, na ile ilikuwa ni ndoto tu. Nilifumba macho na kuufunika uso wangu kwa mikono, huku mapigo ya moyo wangu yakianza kutulia, maana yalikuwa yakidunda kwa kasi na uzito kama vile moyo wote unataka kuniruka.

Nikajitoa kitandani na kuwasha taa. Ndiyo, bado nilikuwa kwenye chumba cha hoteli ile. Lakini ndoto hiyo ilikuwa yenye uhalisia ambao ulinifanya nikose amani kabisa. Nilifata simu yangu na kukuta ni saa kumi na moja alfajiri. Kulikuwa bado na Giza nje, lakini sikujisikia hamu ya kurudi kulala tena. Nikaona ingekuwa bora tu kama ningejiandaa na kuondoka kuelekea kazini; mapema.

Niliingia bafuni na kuanza kuoga, na ndiyo nikatambua kuwa maumivu ya bega hayakuwepo tena. Nililizungusha mara kadhaa lakini ilikuwa ni kama halikuumia kabisa. Ijapokuwa ilikuwa ajabu, nikaridhia kuwa ni afadhali kuliko kama lingeamka linauma zaidi. Nikatoka bafuni na kuanza kujifuta maji huku nikielekea chumbani, pale nilipoona kitu fulani kwenye mwili wangu. Sikuwa hata nimetambua kitu hiki wakati naoga, ila sasa nilikiona.

Ilikuwa ni kama tattoo, kwenye kifua changu upande wa kushoto, yaani kwenye titi la kushoto. Haikuwa kubwa, na ilionekana kama maandishi. Nikaenda mpaka kwenye kioo na sasa niliweza kuyasoma. Ni maandishi yaliyokuwa yameandikwa kwa mtindo fulani uliopendeza. Maneno yale sikuweza kuyaelewa.

"Aóratos," nikajaribu kuyasoma kwa sauti. 

Kiukweli mambo mengi sasa yalikuwa yanazidi kunipa wasiwasi. Kwanza moyo kuchoma sana, ile ndoto, na sasa hivi tattoo yenye maneno nisiyoelewa ambayo sikuwa na kumbukumbu yoyote ya kuichora. Nilianza kuwaza ikiwa yule mwanamke mzee alihusiana na haya yote. Lakini sikujua alipokuwa, na uwezekano wa kukutana naye tena ulikuwa finyu sana. Nikavaa shati na suruali nilizonunua jana na kuhakikisha niko smart kwa nje, huku ndani ya akili nikiwa nimevurugika kabisa.

Nilitoka hotelini pale na kuamua kwa kuwa bado ilikuwa mapema, ningetembea mdogo mdogo mpaka kazini. Upande huo hoteli ilipokuwepo, haikuwa mbali sana kutokea maeneo ya ofisi zetu. Kutembea kukiwa bado na kaubaridi ka asubuhi kungeni-refresh zaidi. Niliwaza hivyo. Nikafika ofisini ikiwa ni saa moja kasoro na kukuta watu kadhaa, wakitoka na kuingia. Nilitembea taratibu tu, huku watu wakinipita bila kunisalimia. Lakini wote walikuwa wakinipotezea kabisa bila hata kuniangalia. Sikutaka kujali sana, hivyo nikaenda kuketi kwenye meza yangu. 

Nilikuwa nataka niiwashe computer yangu pale nilipomwona Justine akija upande wangu. Nilitabasamu na kujiandaa kusalimiana naye, lakini akanipita na kuelekea upande wa meza yake. Nilishangaa. Hata salamu? Nimemfanyaje? Au labda kajua kuhusu mimi na Salma na sasa akawa 'amenuna?'

Nilinyanyuka na kumfata ili niongee naye na kukuta ameshaketi kwenye kiti chake huku computer ikiwaka. Nikampiga begani kwake, naye akageuka nyuma. Lakini nikashangaa akigeukia upande mwingine tena, kama anamtafuta mtu aliyempiga begani. Sikuelewa. 

Nikamwita, "Oya, Justine..." 

Akageuka tena na kusimama huku akizungusha macho yake huku na huku, wakati nilikuwa nimesimama mbele yake! Alikunja uso kimaswali, na nikaelewa kuwa... hakuweza kuniona!

Nilishangaa sana. Nilipojiangalia, nilijiona vizuri tu, lakini yeye hakuniona. Nilifikiri labda anafanya masihara tu, lakini nilianza kukumbuka jinsi kila mtu alivyokuwa ananipotezea kama hanioni wakati naingia. Justine alionekana kushtushwa sana. Akaondoka sehemu hiyo na kwenda kwenye meza yangu kuangalia kama nipo. Akarudi tena na kuketi huku akiangalia huku na kule bado kwa mashaka. 

Nikarudi nyuma kidogo na kukutana na mwenzetu ambaye alikuwa anasoma jambo fulani kwenye faili. Nikasimama mbele yake, lakini hakuinua uso. Nikapitisha mkono wangu mbele ya macho yake, hakushtuka. Nilichoka. Nilijiuliza na hapa ninaota bado, au? Ni wakati huo alikuwa anataka kuondoka hapo, ndipo akanipamia, na sote tukaanguka chini. Alinyanyuka na kuanza kurudi nyuma, akitazama huku na huku. Nilimwangalia sana huku nikiwa chini bado, na sasa akaondoka kuelekea meza yake na kuniacha hapo chini. Hakuniona kabisa!

Nilinyanyuka taratibu, nikiwa sielewi kinachoendelea hata kidogo.

"What... what's going on?" nilijiuliza huku nikijitazama mikononi mwangu.


★★★★★★★★★★

ITAENDELEA...

★★★★★★★★★★

Previoua Next