Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

INVISIBLE

A Story by Elton Tonny

Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Unyanyasaji, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★

 SEHEMU YA TATU

★★★★★★★★★★★


Niliondoka pale chini na kuelekea kwenye vyoo vya wanaume. Niliwapisha wafanyakazi wenzangu kadhaa ambao hawakuniona nikipita pembeni yao. Nikasimama mule ndani na kuona wengi wakiingia tu na kutoka, bila dokezo lolote kwamba nilisimama pembeni. Baada ya kuachwa nikiwa peke yangu dakika chache baadaye, nilianza kufungua vifungo vya shati huku mapigo ya moyo yakikimbia sana. Sijui nimekufa? Huyo bibi amenifanya nini? Na hili neno kifuani kwangu lilimaanisha nini? Nilijiuliza sana. 

Niliangalia maandishi yale tena kifuani kwangu, kisha nikasema, "Aóratos... inamaanisha nini?" 

Nilishindwa kuelewa. Kama nilikuwa nimegeuka mzimu, basi maisha yangu yalikuwa yameharibika kabisa. Nami bado mdogo kweli halafu nitoweke mapema hivi! Aaa hapana.

"Vipi Tristan, mbona kifua wazi?" 

Nikasikia sauti hiyo iliyonishtua na kufanya nitazame mbele. Ilikuwa mfanyakazi wa hapo pia lakini yeye alikuwa kitengo tofauti na changu. Nilimwangalia kimaswali sana. Yeye aliwezaje kuniona ilhali wengine walishindwa? 

"Uko sawa?" akaniuliza tena.

Nilikuwa nimeshindwa nijibu nini ila jambo moja la wazi ni kwamba aliweza kuniona, hivyo nikaanza kuvifunga vifungo vya shati huku nikimwangalia usoni. 

"Yeah... niko sawa," nikamjibu.

"Ulikuwa umesahau kwamba hiki ni choo au? Maana naona ulikuwa unajiandaa kuoga," akasema huku akielekea kwenye sehemu ya haja ndogo.

"Aah... hapana. Nili.. kuwa... na... kuna mdudu alikuwa ameniingilia ndo'... nikawa namtoa," nikajitahidi kubuni uwongo.

Bado niliendelea kusimama hapo nikijiuliza nini kinaendelea. Alitoka baada ya muda mfupi nami nikatoka pia kurejea kwenye meza yangu. Njia nzima nilikuwa nawaza kama jambo linalonipata ni halisi. Sikujua ikiwa yule mwanamke mzee alikuwa amenipa zawadi au laana. Na sikujua ni wakati gani ambao ningeanza kutokuonekana tena mbele za watu. Sasa watu wote waliweza kuniona. Nilishikwa na mkono begani uliofanya nishtuke na kutazama nyuma.

"Hey Tristan, vipi mwanangu?" akasema Justine.

"Oh Justine... a... fresh tu. Mambo niaje?" nikamjibu kiajabu-ajabu.

"Ulikuwa wapi?" akaniuliza kwa udadisi.

"Nilikuwepo. Nili... nilikuwepo muda wote."

"Wapi?"

"Nilikuwa toilet."

"Ulikuwa toilet toka ulipofika hapa?"

"Aa... yeah, nilikuwa huko."

Niliona Justine akitazama chini kwa uso uliokuwa wenye maswali. Nilielewa sababu ya yeye kuniuliza maswali hayo, lakini nikaendelea kujifanya kama mambo yako shwari tu.

"Vipi weweee... mbona maswali kama mwanasheria?" nikauliza kiutani.

Justine bado alikuwa makini aliposema, "Muda mfupi uliopita ni kama nilikusikia unaniita vile." 

"Mh? Hapana wala me... sijakuita. Ulikuwa tu unaniwaza," nikamchengua kinamna hiyo.

"Hapana yaani, ulinigusa kabisa lakini sikukuona. Sijui hata nikuelezeeje yaani," akasema huku akionyesha uso wenye kujali.

Nilielewa Justine alichanganywa na kilichotokea muda ule, lakini mimi ndiye niliyechanganywa hata zaidi na jambo lililonipata. Sikuweza kumwambia Justine kwa kuwa sikuwa nimeelewa vizuri kilichoendelea. Na nilimjua Justine kuwa mzee wa ku-panick sana hivyo kama ningemwambia, angetangazia kila mtu kwamba mimi ni mzimu. Nikaona tu nimtulize.

"Kama nilivyokwambia, itakuwa ulikuwa unaniwaza tu. Me mwenyewe nimeku-miss."

"We fala kweli. Me nimekuwa demu uni-miss?" akauliza huku akianza kutabasamu.

"Ahahahah... naona siku hizi unajipodoa kabisa," nikamtania.

"Sema tu mimi hendisamu boy bwana." 

"Haya bwana, hendisamu boya. Tupige kazi kabla madam G hajaja hapa," nikamwambia hivyo, kisha tukaelekea kwenye sehemu zetu za kazi.

Ilikuwa ngumu sana kwangu kukazia fikra kazi nilizotakiwa kufanya. Kichwani kwangu mdudu aliyeendelea kuzunguka alikuwa ni yule mwanamke mzee. Mimi sasa nilikuwa mara nichomwe moyo, mara nipatwe na tattoo za ajabu, na kupotea kama mzimu. Mawazo yalisababisha nisiangalie simu yangu hata mara moja kutokea asubuhi. Tulipotoka kula Cha mchana na Justine, muda mwingi ni yeye ndiye aliyeongea sana huku mimi nikiwa simpi umakini mkubwa. Mpaka tunakuja kumaliza saa za kazi, bado nilivurugika akili.

"Kwa hiyo una mpango gani?" akaniuliza Justine wakati tunasubiri usafiri.

"Nitaangalia uwezekano wa kutafuta nyingine. Sasa hivi nitatafuta ndogo kiasi isiyo ya gharama," nikamjibu.

Tulikuwa tukiongelea kuhusu mimi kununua laptop nyingine.

"Kwa bei nzuri dukani unapata ya laki ngapi?" akaniuliza

"Laki tatu na themanini," nikamtaarifu.

"Duh! Si bora ukanunua tu kutoka kwa mtu? Tafuta mtu ambaye anauza. Kuna wahuni wanauza PC nzuri kama nini buku jero tu," akasema.

"Ahahahah... nikiwapata kumi wa hivyo, nanunua zote."

"Mambo mengi muhimu yameenda mwanangu kwa sababu tu ulijifanya Superman," akaniambia.

Yeye kusema hivyo kukafanya mwanamke yule arudi tena kichwani.

"Wakati mwingine natamani hata nisingemwokoa," nikasema nikiwa makini.

"Umeona! We ungemwacha tu akapaishwa ili ITV wawe na habari muhimu saa mbili! Hihihihih... jamaa wakuda wale, hawapitwagi," akasema huku akicheka, nami nikacheka sana. 

Hakuwa ameelewa nilichomaanisha, hivyo nikamwacha tu kwenye ubora wake wa kujua kufurahisha.

Hiace ikafika, naye Justine akapanda kuelekea kwao. Nikapanda yangu pia na kuelekea maeneo ya kwetu. Nilipotazama simu yangu nilikuta meseji kadhaa za watu wachache; tisa kutoka kwa Salma. Nikajishika usoni huku nimefumba macho kwa kusikitika kuwa sikuweza kuzisoma kwa wakati, na huenda hata alikasirika. Lakini baada ya kuzisoma, nilikuta ni meseji za kunisalimu, kuniuliza kama bado niko kazini, kama nimekula na kama, ikiwa niko bize sana, basi ningemshtua baadaye. Nilijisikia vibaya kiasi kutokana na ukweli kwamba, kwa siku ya leo, ilikuwa kama Salma nilimweka kando. Hivyo, nikaamua nimpigie simu.

"Halloo," nikasema baada ya yeye kupokea.

"Hi," akajibu.

"Umeshindaje Salma?" 

"Nikiku-miss tu," akasema kwa sauti nyororo.

Nikatabasamu kisha nikamwambia, "Pole sana. Tulikuwa na mambo mengi leo... nilishindwa hata kuicheki simu."

"Usijali. Vipi, ndiyo umemaliza?"

"Ndiyo. Niko njiani narudi. Nikuletee nini?"

"Wewe tu unatosha," akajibu kwa madaha.

"Ahahah... sawa naja."

"Unaendeleaje lakini?" akaniuliza.

"Unamaanisha nini?"

"Baba jana alisema kuwa ulimwambia ulipatwa na ajali hivyo hungeweza kurudi. Ndiyo nilikuwa nataka kujua kama bado unahisi maumivu," akaeleza.

"Mh! Kwani haujui jana usiku nilikuwa wapi?" nikamuuliza kiuchokozi.

"Najua. Ila baada ya baba kutuambia vile, nilijua ilikuwa kweli maana nilikuona jinsi ulivyopindia upande mmoja wa bega. Lakini... sikuuliza kwa sababu..."

"Kwa sababu utamu ulikukolea?" nikamkatisha.

Akacheka kisha akasema, "Acha buana."

Nikacheka pia kisha nikamwambia, "Usijali wala haikuwa kitu serious. Niko sawa."

"Okay. Nimefurahi kusikia sauti yako," akasema.

"Mimi pia Salma. Natumaini tutaweza kuonana leo japokuwa nafasi inaweza isipatikane maana nisingependa wazazi wako wakuzingue," nikamwambia.

"Usijali. Mimi nitakaa hapa nje, ukifika tu nakupokea."

"Wewe! Asa' si ndo' unatafuta sababu ya kuzinguliwa hivyo?"

"Ahahah... nitakuwa careful," akasema.

"Haya sawa. Baadaye wangu," nikamwambia.

"Baadaye," akamalizia kisha kukata simu.

Angalau baada ya kuongea na Salma nilijihisi vizuri. Kumbukumbu za malavidavi tuliyopeana zilikuja akilini na kunifanya nianze kufikiria kumpanga tena ili tuweze kutoka. Lakini nilijua kwa wakati huu, jambo muhimu lilikuwa kutambua hiki kitu kilichonipata ilikuwa ni ugonjwa gani, na kama una tiba. 

★★

Baada ya kufika maeneo niliyoishi, nilikwenda kwenye mini-supermarket moja kununua vitu vichache kwa ajili ya chakula. Nilipokaribia nje ya geti la ile nyumba, nilimwona Salma na wadada wengine wawili wakiwa wameketi kwenye pindo za matofali ambayo yalipangiliwa kwa mzunguko wa nyumba ili kuyasitiri maua na ukoka uliopandwa. Nikakisia kuwa wale huenda wakawa ni rafiki zake, hivyo sikuwa na uhakika alitaka nimtendee vipi nikifika hapo. Lakini niliwaza inawezekana wakati tunaongea kwenye simu, huenda aliwasikilizisha hawa mashosti zake. Wote walivalia ushungi kwenye vichwa vyao.

Nilipokaribia na yeye kuniona, alinyanyuka na kunifata akiwa anatabasamu.

"Mambo," nikamwambia.

"Poa tu," akajibu huku akibana midomo yake na kunisogelea karibu zaidi.

"Naona uko na mashosti."

"Eeee."

"Ndo' ulikuwa umekaa nao ili uwadolishie mimi eti?" nikamtania.

Akacheka kwa aibu na kutikisa nyusi zake kukubali. 

Nikasogea naye mpaka pale walipoketi marafiki zake kisha nikasalimiana nao. Tukatambulishana, kisha nikamwambia Salma mimi naelekea ndani. Akakubali kuniacha, nami nikaingia zangu getini na kwenda mpaka chumbani kwangu. Niliachia vitu vyote nilivyoshika na kujitupa kitandani kisha kufumba macho.

'What am I gonna do?'

Nikajiwazia hivyo. Kisha, nikasikia mlio wa meseji na kuichukua simu kuangalia.

'umeanza kupika?' ilisomeka text hiyo kutoka kwa Salma.

'bado.. an sjui kupika mie' nikajibu.

'hahah umekuj na vitu vyote hivyo kuvifanyia nn sas' 

'nilitak ww ndo uje kunipikia' 

'nije kweli?'

'kama unaweza'

'haya'

Nilikuwa nimeshaiwekea akili yangu kitu kwamba ikiwa Salma angekuja, ningejitahidi tusifanye jambo lolote ambalo lingemletea shida kutoka kwa wazazi wake. Lakini sikudhani kama kweli angeweza kuja kutokana na jinsi palivyobana hapa; angetambuliwa kirahisi. Nikajinyanyua ili niende kujimwagia maji kutoa fukuto nililohisi. Mara kwa mara ningeitazama tattoo yangu mpya na kutikisa kichwa kwa kutopendezwa na mambo iliyoniletea maishani mwangu. 

Nikatoka bafuni nikiwa najifuta maji mwilini na kusikia mlango wangu ukigongwa. Nilifikiria moja kwa moja kuwa ingekuwa ni Salma, hivyo nikajifunga taulo kiunoni na kuelekea mlangoni pale kifua wazi. Nikaufungua mlango na kushtuka kidogo. Alikuwa amesimama mama yake Salma, huku Salma akiwa nyuma yake. Nikaanza kuingiwa na wasiwasi kuwa inawezekana kimenuka na sasa nimefatwa kulambwa maneno. Pamoja na yote, nikatoa tabasamu bandia.

"Samahani sana Tristan. Sikutarajia kukukuta hivi," akasema mama yake.

"Bila samahani mama. Me ndiyo niombe samahani kwa kutoka nikiwa hivi," nikamtuliza.

"Sawa. Tulikuwa tumekuja kukuangalia unaendeleaje. Tulisikia umepata ajali," akaeleza.

"Oooh sawa. Asante sana mama. Naendelea vizuri sasa. Sikuumia sana," nikamwambia.

"Daktari alisemaje?" akauliza.

"Daktari... alinipatia dawa nzuri maana niliumia kiasi begani. Ila baada ya yeye kunihudumia vyema, sikuhisi maumivu tena," nilisema hivi huku nikimtazama Salma, ambaye alionekana kuelewa kuwa niliongea kitamathali. Akatabasamu na kuangalia chini kwa haya.

"Aaa, sawa. Heh... basi nikafikiri ulipatwa na jambo baya sana kijana wangu. Mola akupe maisha marefu," akaniambia kunitia moyo.

Mama yake Salma alikuwa mtu wa dini sana. Alikuwa mstaarabu na mzuri kama binti yake tu. 

"Asante sana mama," nikamwambia.

"Haya, mwambie pole rafiki yako, ngoja niwahi kuangalia mboga," akasema huku amemgeukia Salma. 

Kisha akaniaga na kuanza kushuka ngazi. Salma alikuwa kimya huku akiniangalia. Nikatabasamu kidogo na kuanza kuchezesha matiti ya kifua changu kama kumchokoza. Akatabasamu pia, kisha kwa haraka nikamshika mkono na kumvutia ndani. Alionekana kama alitaka kusema kitu, lakini hakuweza kwa kuwa niliuwahi mdomo wake kwa wangu na kuanza kula ulimi wake. Niliuzungusha ulimi wangu ndani ya mdomo wake taratibu huku naye akijibu mapigo. Nilimshikilia kiunoni naye akanishika usoni, nasi tukaendelea kunyonyana. Nikauachia mdomo wake na kuweka paji langu la uso kwenye lake.

"Nilitaka sana kufanya hivyo," nikamwambia.

"Mmh... hata mimi," akajibu kwa deko.

"Ngoja nikuache uende sasa mama yako asije akahisi nimekubananiza huku."

Aliangalia chini kuelekea mashine yangu iliyokuwa imesimama na kufanya taulo inyanyuke. Akaniangalia tena usoni kama kuniambia hataki kwenda.

"Nina hamu nawe pia, ila sasa hivi haitakuwa wakati mzuri. Tuchat baadaye, sawa?" nikamwambia kumtuliza.

Akatikisa kichwa kukubali, kisha nikambusu kwenye shingo yake na kupeleka midomo yangu kwenye midomo yake tena. Tukadendeshana kwa sekunde chache, kisha nikamwacha aende.

Nikarudi ndani na kuwasha TV kisha kuanza kufungua vitu nilivyonunua. Nilikuwa nimenunua pakti moja ya soseji nene na tambi. Nilikuwa nimemtania tu Salma kuwa sikujua kupika, lakini ukweli ni kwamba kwenye kupika nilijitahidi sana. Vyakula vilivyohitaji mambo mengi sana kwenye upishi kama pilau, ndiyo sikujua kupika. Ila mikaango-mikaango ilikuwa simple tu. Nikatengeneza vyakula hivyo na baada ya kumaliza, nikaweka kwenye sahani ili nijinome. Lakini kabla sijaanza kula, simu yangu ikaita. Nilipotazama alikuwa nani, nikaachia tabasamu moja la furaha sana.

"Jamani sweetheart wangu! Nimeku-miss sana!" nikasema kwa furaha baada ya kupokea.

"Ahahah... umeni-miss hata kunitafuta hakuna?" akauliza.

"I'm sorry... mambo mengi sana maishani my love," nikamwambia.

"Mmmm... acha kusingizia maisha bwana, there are other important things as well," akasema.

"I know, I know. But sometimes, there are things that happen... that make it so mad complicated," nikamweleza.

"Why? Is everything alright?" akauliza.

"Yeah. Everything's fine."

"I know you Tristan. You always hide things and I don't like that. Is it a new girlfriend or something?" 

"Ahahaha... no, it's not that. Its just... nakutana na mambo mengi mapya maishani... so, I'm just learning how to cope with them."

"Well... learning to live with the obstacles in life is everyday. Just be yourself and fight for what you know is right, like you always have. And I'll always be here to support you," akanitia moyo.

"Thanks mom. I love you," nikamwambia baada ya kufarijika.

"Always my son."

Ndiyo. Alikuwa ni mama yangu. Tulipenda kuzungumza kiingereza na mama tokea nikiwa mdogo. Kwako wewe msomaji ambaye hukuelewa alichosema, alikuwa akiniambia kwamba maumivu huwa ni kila siku, na tunapaswa kuishi nayo kwa kupambana na kufanya yaliyo sawa. Alinitia sana moyo pindi hii bila kujua kuwa jambo nililopitia lilikuwa halifikiriki. Tukaendelea kupiga story za hapa na pale huku nikila taratibu. 

Sikutambua kuwa muda ulikuwa umepita toka nilipoanza kuongea na mama. Nilipomaliza kuongea naye na kuangalia saa, ilikuwa saa tano. Nikakuta meseji kadhaa kutoka kwa Salma akinishtua ili tu-chat, na ilikuwa masaa mawili yaliyopita. Nikam-text lakini hakujibu. Niliona nimwache kwa kuwa huenda alikuwa ameshalala, kwa sababu alipenda kulala mapema.

Nikanyanyuka na kuketi kitandani ili nifikirie mambo kwa umakini zaidi. Nini hasa kilichotokea leo. Lakini kilichotokea leo, hakikuanza leo, kilianzia juzi, kwa yule mwanamke. Aliweka mkono wake uliokuwa wa moto kiasi kifuani kwangu karibu na upande wa moyo na kusema maneno fulani ambayo sikuelewa. Moyo wangu ulianza kuuma sana jioni ile. Asubuhi ya leo, nilikuta tattoo sehemu hiyo hiyo aliyoweka mkono. Niliyasoma maneno ya tattoo hiyo na kwenda kazini. Watu hawakuniona. Lakini nilipofungua shati na kulisoma neno lile, walianza kuniona. 

Nikafungua Google na kuangalia uwezekano wa kupata tafsiri ya neno "Aóratos," nikiliandika jinsi lilivyoandikwa kifuani kwangu. Aóratos, ilimaanisha katika kiingereza "INVISIBLE," yaani, kutoweza kuonekana kwa kitu fulani. Sasa nikapata picha ndogo kuwa, mwanamke yule alikuwa amenipatia uwezo wa kutoonekana. Lakini kwa nini mimi? Na nguvu hizo zilitoka wapi? Hayo ni maswali ambayo ni yeye tu ndiye angeweza kujibu. 

Baada ya kupitia mambo hayo, nilipata wazo ambalo lingehitaji jaribio. Hivyo, nikaamua kulala ili kesho nifanye jaribio hilo.


★★★


Baada ya kuamka na kumaliza kujiandaa asubuhi iliyofuata, nilitoka chumbani na kusimama mwanzo wa kushuka ngazi. Nilitazama nje upande wa mbele wa kina Salma, na kama kawaida, msichana wao wa kazi alikuwa akifagia eneo lile dogo la nje kuelekea getini. Jambo nililotaka kufanyia jaribio ilikuwa ni kusema lile neno, kisha nimfate msichana huyo. 

Nikafumba macho, kisha nikasema, "Aóratos," nami nikaanza kushuka ngazi taratibu. Nilimfata mpaka upande aliokuwa, lakini hakunitazama. Nikasimama mbele yake lakini akaendelea tu kufagia. Nikatabasamu kidogo kwa kuwa jaribio langu lilikuwa limefanikiwa. Nikarudi nyuma yake na kusema tena kwa sauti ya chini, "Aóratos," kisha nikasogea mbele yake tena. Alinyanyua uso wake na kunisalimia, nami nikamwitikia. Hapa nikawa nimetambua sasa kuwa, ikiwa ningesema neno lile tu, nisingeweza kuonekana kwa macho ya wanadamu, na ikiwa ningelisema tena, wangeweza kuniona. 

Baada ya kumuaga, nilitoka na kuelekea sehemu ya gari za usafiri nikiwa najichekea mwenyewe tu. Hiki kitu ijapokuwa kilinipa wasiwasi mwanzoni, sasa ningeweza kukitumia kwa ajili ya mambo mengi yenye kuniletea faida; ningemtisha Justine mara kwa mara, au ningeingia mgahawani kuchukua chakula na kuondoka nikiwa sionekani bila kulipa, mawazo ya kipuuzi yalikuwa mengi. Nikapanda gari na kuelekea zangu kazini nikiwa nimechangamka.

★★

Baada ya kufika ofisini, nilikuta Justine tayari amefika pia huku akiwa ameketi kwenye meza yake kule mbele. Nilitabasamu kwa hila nikiwaza leo lazima nianze naye. Ningemfata nikiwa sionekani na kuanza kumfinya au kumsemesha kwa sauti ya kuigiliza besi ya kutisha.

Lakini nilipomwangalia Justine vizuri, niliona kama hana furaha. Uso wake ulionyesha wasiwasi na haikuwa kawaida yake kwa kuwa nilimzoea kuwa mtu mchangamfu sana. Nikanyanyuka na kumfata alipokuwa ameketi. Aliponiona tu, akainama na kuanza kutikisa kichwa kwa kusikitika. Sasa nikawa nimetambua kuna tatizo.

"Vipi Justine, mbona hivyo?" nikamuuliza.

"Ah, yaani we' acha tu mwanangu, hapa sina amani yaani," akajibu kwa sauti ya chini yenye kuonyesha mkazo.

"Nini kimetokea?"

"Nimeharibu Tristan, nimeharibu."

"Shida ni nini rafiki yangu? Niambie tusaidiane," nikamsihi.

"Bwana, si unajua mikazo hapa ofisini... mara kufokewa, mara kukatwa mshahara kwa makosa ya kijinga tu... basi juzi kati pale nilitumia hii computer kisiri kuangalia uwezekano wa kupata kazi nyingine, suitable kwangu kama hii," akaeleza.

"Enhe..." 

"Nilipata kampuni nyingine na kuanza kufanya kama... tour kidogo... niki-explore mambo yaliyohitajika kupata. Sasa nilikuwa najibu maswali yote kwa akaunti yangu ya email ya hapa, lakini nilifanya hivyo nikiwa nimeilinda isifahamike. Kwa hiyo hata nilipomaliza, nilifuta kila kitu baada ya kuona ilikuwa kujisumbua tu. Sasa jana jioni hao jamaa wakanitumia ujumbe kwenye email yangu kuwa wanatuma leo asubuhi barua ya uthibitisho wangu kwenye kampuni hii."

"Uthibitisho wa nini?" nikamuuliza.

"Kwamba nilitaka ku-apply huko. Me nilifanya kama mchezo tu, najua siyo rahisi kupewa mara moja tu."

"A-ah, subiri sijaelewa. Wanatuma barua hapa ya kwamba...?"

"Ya kumuuliza boss kwamba mimi nikiwa bado mfanyakazi wa hii kampuni, anajua kwamba nilituma hayo maombi? Me sielewi hata waliwezaje kujua nafanya kazi hapa, nilihakikisha nimefuta na kuficha kila kitu," akasema.

"Hiyo kampuni inaonekana ni kubwa, wako makini. Umefanya confidentiality clash. Justine... that is dangerous. Unaweza kupoteza kazi na usiajiriwe kwingine!"

"Najua. Ndo' maana sijui nifanyeje. Boss bado hajafika na nimeona jamaa wakileta box dogo kumpelekea Magda huko juu. Najua tu hiyo barua itakuwa humo na atakuwa amemwekea boss ofisini. Aaigh, yaani nimekwisha! Na boss jinsi alivyo, atawaambia hakujua kisha atanifukuza. Sijui nitafanyaje? Ama nimwahi kabla hajaingia ofisini kwake nimweleze?" 

Nilimwonea huruma. Kwa mambo mengi, alikuwa mwenye kujiachia na kufanya chochote akili yake ilichomtuma. Lakini alihitaji sana kazi hii, na aliipenda kwa kuwa ndiyo aliyosomea. Isingekuwa rahisi kwake kutoka hapa kwenda sehemu nyingine akiwa na ujulikani wa kuwa mvujishaji wa siri za kampuni. Asingekubaliwa popote.

Nilishindwa kujua nimsaidieje, lakini mara ghafla, lile wazo likaja. Ni wazo ambalo sikuwa nimelipangia kabla, na lilinisisimua. Vipi ikiwa ningeweza kuitoa barua hiyo ofisini kwa boss kabla hajaiona, bila ya mimi kuonekana? Niliachia tabasamu kidogo huku nikikumbukia movie nyingi nilizowahi kuona za watu waliokuwa na nguvu za kupotea, na hivyo wakaweza kuingia sehemu ambazo zilizuiwa; kama Suzan wa Fantastic Four. Nikamwangalia Justine ambaye bado alionyesha wasiwasi, nami nikamshika begani, kisha akanitazama.

"Usijali. Nitakusaidia. We' kaa hapa utulie ujifanye hili jambo halikuwahi tokea. Na usije kumfata boss, umeelewa?" nikamwambia kwa sauti ya chini.

"Unataka kufanya nini? Boss huwa haruhusu mtu yeyote kuingia ofisini kwake zaidi ya Magda, utanisaidia vipi labda?" akauliza kwa wasiwasi.

"Wewe tulia," nikamwambia.

"Oya mwanangu, usije ukafanya jambo la kuongeza zari. Kama nitafukuzwa, basi itakuwa makosa yangu. Na inabidi..."

"Nisikilize. Nimekwambia sahau kama hii ishu ilitokea na usimwambie yeyote yule," nikamkatisha.

"Unataka kuua au?"

"Just trust me. I'll handle it," nikamhakikishia.

Alinitazama kimaswali sana. 

Niliondoka hapo na kuelekea kwenye choo. Baada ya kufunga mlango wa choo cha mtu mmoja, nikasema maneno yangu yale niliyowekewa muhuri na yule bibi.

"Aóratos."

Kisha, nikiwa najiamini kwamba sasa sionekani, nikatoka mule na kuanza kuelekea ofisini kwa boss. Nilifika usawa wa ofisi yake na kumwona secretary wa boss, Magda, akiwa bize kufanya jambo fulani kwenye computer yake. Nilifikiria haraka cha kufanya ili nimkengeushe asione pindi mlango ungefunguka, lakini sikupata wazo haraka. 

Kisha nikaamua tu kupita na kuufungua mlango na kuingia. Sikuurudishia ili kumfanya afikiri labda ulisukumwa na upepo, ijapokuwa hakukuwa na upepo wowote hapo. Alinyanyuka na kuufata mlango uso wake ukiwa umejikunja kimaswali, kisha akachungulia ndani ya ofisi na kurudi nje kuufunga. Nilisikia kitasa kikitoa sauti ya mlango kupigwa 'lock' na funguo.

'Haya sasa. Nimefungiwa ndani.'

Nikawaza hivyo huku naiangalia ofisi ya madam wetu. Ilikuwa pana kidogo, yenye sofa moja refu upande wa kulia, meza kubwa upande wa mbele ambayo kwa upande mmoja iliwekewa viti viwili na upande mwingine kimoja ambacho bila shaka kilikuwa cha boss. Kulikuwa na laptop mezani iliyofungwa, na desktop pia kwa pembeni. Niliacha kutazama mambo mengi ya mule ndani na kuanza kuangalia kama ningelipata box aliloniambia Justine.

Nikasaka kwenye droo za kabati fupi ya mafaili upande wa kushoto na kukosa. Kisha nikaenda kwenye meza yake na kukuta box dogo likiwa limeandikwa 'CONFIDENTIAL,' na kujua kuwa hapa bila shaka ndiyo penyewe. Nikalirarua haraka-haraka na kutoa bahasha ndogo iliyokuwa kwa ndani. Nikaifungua na kukuta barua kutoka kwa kampuni hiyo Justine aliyoiletea za kuleta, kisha nikaisoma. Ilikuwa kama jinsi ambavyo Justine alihofia ingekuwa, hivyo nikaanza kuikunja ili kuiweka mfukoni mwangu. 

Ilikuwa ni wakati huu ndipo nikasikia sauti ya Magda akimsalimu boss. Nilishtuka na kuanza kuyakusanya yale maboksi kwa kuyakunja kwa nguvu na kwa uharaka nikayatupa nje kupitia dirisha la ofisi hiyo. Mlango ukafunguka, na hapa mbele yangu nikamwona boss akiingia na kuurudishia. Sehemu niliyosimama ilikuwa ni nyuma ya kiti cha boss; inaonekana alipenda kuketi usawa huo wa dirisha labda kwa ajili ya fresh air. Akaanza kuja usawa huo huku akiwa hana habari yoyote kwamba nilikuwa hapo. Alivalia gauni fupi nyekundu kufikia magoti yake kama kawaida, mikufu ya dhahabu, mkoba mwekundu uliofananisha viatu vyake vyekundu na lipstick nyekundu. Yaani leo alikuwa mwekundu.

Taratibu nikainama na kujisogeza mpaka chini ya meza yake, na kujichomeka hapo. Nilitulia sana ili asihisi uwepo wangu. Kutoka nilipokiegamiza kichwa changu ningeweza kuona miguu yake ikifika na kisha akaketi kwenye kiti chake kilichozunguka. Sasa, gauni yake iliyobana ilipanda juu kidogo kufikia mapajani mwake, nami niliweza kuiona nguo yake nyeupe ya ndani alipoiachanisha miguu yake kidogo. Nikatabasamu huku nikijikaza nisicheke kwa kuwa ikiwa angejua niko chini hapo, basi kazi ingekuwa bye bye. Ikanibidi nianze kufikiria cha kufanya ili niweze kutoka hapo, maana alikuwa ana kawaida ya kwenda kuangalia wafanyakazi kule chini, na haingekuwa nzuri kama hangenikuta.

"Magda, kama kawaida. Usiruhusu mtu yeyote aje humu ndani. Na hata kama ni muhimu, wanisubiri mpaka nimalize kazi zangu, sawa?" 

Nikamsikia akisema hivyo na kutambua kuwa alikuwa akimwambia Magda kupitia simu ya mezani. Sasa baada ya mimi kusikia boss angeanza kazi zake, nikafikiria kuwa huenda hii ikawa nafasi nzuri ya kujitoa hapo endapo atakazia fikra mambo yake zaidi.

Wakati nikimsikilizia, nilishangaa kuona mikono yake ikianza kuipandisha gauni yake taratibu mpaka kufikia kiunoni. Nilishindwa kujizuia kutazama, na sasa aliuegeshea zaidi mgongo wake kwenye kiti na kufanya kiuno chake kisogee mbele kidogo ya kiti. Yaani sasa nguo yake nyeupe ya ndani niliweza kuiona vizuri zaidi, huku nikiwa sielewi ni jambo gani lililokuwa likitendeka.

Nikaona mkono wake mmoja ukishuka taratibu kwenye paja lake na kuanza kulibinya-binya. Nikaanza kusikia sauti fulani kwa mbali zilizonichanganya. Zilikuwa sauti za watu waliofanya mapenzi! Lakini kati ya hizo haikuwa ya boss, zilitoka kwenye computer yake; labda laptop. Miguno na kelele za mahaba zilizotoka zilinifanya nitambue kuwa boss alikuwa akitizama porno. Kilikuwa kitu kipya kabisa kwangu kujua kuhusu boss! 

Nilistaajabu, na sasa mkono wake ukazidi kuelekea pale kati. Nikaendelea kutazama huku nikishangaa na kusisimka kwa wakati mmoja. Alisugua upande wa juu wa nguo yake ya ndani kwa vidole vyake, kisha akaivuta pembeni na kufanya kitoweo chake kiwe wazi mbele ya macho yangu. Kwa mara ya kwanza kabisa, nikakiona kitoweo cha boss wangu!

Niliachama kidogo bila kutoa sauti yoyote, na sasa akapeleka vidole vyake mdomoni mwake na kuvilamba, kisha akavirudisha kwenye kito chake na kuanza kukisugua taratibu kwa juu. Ai kudadadadeki! Nilishindwa kuamini kama kweli alikuwa ana huu mchezo. Niliendelea kutazama tu jinsi alivyozungusha kiganja chake huku mguu mmoja akiwa ameuweka juu ya meza sasa. 

Nikaanza kusikia miguno yake mwenyewe, na hapa sasa mashine yangu ikapagawa. Nilianza kukiwazia kitoweo chake; ingekuwa vipi kama ningempatia kamsaada kidogo nikisafishe? Nikajichekea mwenyewe huku nikiendelea kutazama hiyo scene. Yeye alikuwa anaangalia kwenye computer yake, mimi nilikuwa naangalia kwenye toweo lake, live bila chenga! Kama ningemsimulia Justine, angeniamini?

Nilianza kuona anaongeza kasi ya kiganja chake huku mkono wake mwingine ukiyashika-shika na kuyabonyeza matiti yake yaliyokuwa ndani ya sidiria baada ya yeye kushusha kidogo mikanda ya begani ya gauni lake. Aliingiza vidole vyake viwili ndani na kuanza kujisugua-sugua huku kiti kikienda upande kwa upande. Alifanya mashine yangu iwe ngumu sana, na hamu ya kutaka kunyanyuka pale na kumkarabati vizuri, nilikuwa nayo. Kwa jinsi alivyokuwa na tabia ya kuongea na wafanyakazi kama vibaraka wake, niliwaza kama ningepata nafasi ya kumsugua siku moja ningemtandika mpaka angejamba! 

Ghafla, akanyanyua kalio lake juu kidogo na kuanza kurusha juisi zake za moto, huku miguu yake ikitetemeka. Alikuwa na 'control' fulani hivi nzuri kwa kuwa hakupiga kelele, na miguno aliyotoa ilikuwa ya kutetema kwa sauti ya chini. Bila shaka ilikuwa kawaida yake kufanya hii kitu kazini, labda hata kila siku. Juisi zake chache zilinimwagikia kwenye shati langu upande wa begani na usoni pia kidogo. Nikajifuta taratibu huku nikisikia jinsi boss alivyohema kwa uchovu.

Niliona hii ndiyo ingekuwa nafasi nzuri ya kutoka hapo haraka, lakini sijui niliingiwa na nini tu kichwani, nikataka kunyanyuka upesi na jambo hilo likasababisha nikibamize kichwa chini ya meza. Ilitoa sauti na kutikishika kidogo, huku mimi nikifumba macho na kubana midomo nikijisemea 'Goddammit!' 

Nilipofumbua macho, nilikutana macho kwa macho na boss, akinitazama huku amekunja sura!


★★★★★★★★★★

 ITAENDELEA

★★★★★★★★★★

Previoua Next