Mchoro wa kesho yetu
Alikuwa ni Mama Wadeni wa kituo cha kulele watoto cha Morogoro ,Foot Academy, aliekuwa ameongozana na kundi la watoto. Pembeni yake kulikuwa na mwanaume mzee. Hamza alimjua ni moja ya wazee waliokuwa wakisaidia ndani ya kituo hicho. Hakumuona Mzee Hizza.
“Madam Wadeni!” Aliita Hamza kwa mshangao mara baada ya kumuona.
“Hamza! Kumbe na nyie mmekuja! Nilikuwa nikijiuliza kama ningewaona , ila …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments