HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
"Mheshimiwa unazunguka sana, nini unakitaka?"
"Napenda sana ujasiri wako kwa sababu unaonekana haupendi sana kona kona, sasa nahitaji uniambie huyu ni nani?" mheshimiwa alitamka kauli hiyo akiwa anatoa gazeti na kulirushia mezani kwa Remy. Ikamlazimu mwanaume kulinyanyua gazeti hilo ili kuweza kuisoma …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments