HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
"Unamaanisha yule tajiri mfanya biashara?"
"Ndiyo bosi"
"Why?"
"Kimekuwa kitendawili kizito sana ambacho tunatakiwa kukipatia jibu lake"
"Bruno Josephat ameingiaje ndani ya lile gereza?"
"Bado sijajua juu ya hilo bosi"
"Kwahiyo wanatuchezea mchezo hawa wajinga si ndio? Unaweza ukaniambia mtu mmoja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments