HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI
Walitoka ndani ya chumba hicho na kumuacha mwanaume huyo pekeyake ili wajue nini cha kukifanya maana walikuwa na muda mchache sana wa kuweza kuikamilisha kazi hiyo.
"Nilijua tu huyu binadamu ana uwezo mkubwa sana ila kuna michezo anaicheza ndiyo maana alijikamatisha kirahisi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments