HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
"Ni ngumu sana kwa sababu hata yeye anaonekana kujua kile ambacho anakifanya ila ni mtu ambaye anatakiwa kupatikana mapema kabla hili jambo halijafika mbali kwa sababu tutaishia pabaya sana"
"Hilo swala naona ni dogo sana, watafutwe vijana makini kama hawapo basi waagizwe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments