HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA THELATHINI NA TANO
Safari yake usiku huo ilienda kuishia yalipo makao makuu ya usalama wa taifa, haikuwa kawaida yake kufika hiyo sehemu lakini siku hiyo alienda yeye mwenyewe tena bila uwepo wa mkurugenzi wa usalama wa taifa. Walinzi waliuzuia msafara huo lakini baada ya kugundua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments