Msukule wa Utumwani.
Hamza mara baada ya kusikia taarifa hio, mapigo ya moyo yalienda kasi mno kwa kuhisi tatizo ni kubwa.
“What position!”Hamza aliuliza haraka haraka na Black Fog alitoa majibu ya uelekeo na Hamza alikata simu palepale na haraka sana alifungua mlango wa gari na kuingia ndani.
“Hey! Nini kinaendelea?”Aliuliza Regina mara baada ya kuona sura ya Hamza ilivyokuwa siriasi ghafla tu baada ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments