HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
Baada ya kufika ndani ya chumba hicho ni kweli mkuu wa gereza la Dominic, Luka Gambino alikuwa ameuliwa kwa kuchomwa na visu vitatu kwenye shingo huku kimoja akiwa amechomwa kwenye mbavu yake ya kushoto. Cleopatra Gambo alimwangalia sana mzee huyo mwenye kitambi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments