HADITHI: BADO NINAISHI (ASHRAFU NDILO JINA LANGU)
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
SEHEMU YA AROBAINI
Safari ya mkuruenzi ilikuwa ni kuelekea sehemu ambayo ilikuwa kambi ya siri ya vijana wake watano ambao aliambiwa kwamba hali zao hazikuwa nzuri sana. Hakutaka kusindikizana na mlinzi yeyote yule usiku huo hivyo hata gari yake alikuwa anaiendesha mwenyewe kwani aliona kama ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments