Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

INVISIBLE

A Story by Elton Tonny

Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Unyanyasaji, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★

 SEHEMU YA NNE

★★★★★★★★★★★★


Niliendelea kutulia huku nikimtazama, kisha akakwepesha macho yake na kuangalia sehemu zingine za meza ile kwa chini. Alionekana kutafuta sababu iliyofanya meza itikisike, na bila shaka kwa kuwa hakuweza kuniona, alipata mashaka. Akashusha gauni lake mpaka kwenye magoti baada ya kuonekana ameridhishwa na huduma yake ya kibinafsi. Akatoka sehemu hiyo na kuelekea kuchukua kitambaa, ambacho bila shaka alitaka kufutia juisi zake zilizomwagikia mezani kwa mlipuko.

Nilinyanyuka taratibu kutoka hapo chini na kusimama pembeni nikimtazama kwa makini. Alifuta meza taratibu na kutoa video ile ya porno aliyokuwa akiitizama. Nikatabasamu huku natikisa kichwa kwa kuwa mpaka wakati huu bado jambo alilotoka kufanya lilinichanganya sana. Akaketi kwenye kiti chake na kuonekana anaanza kupitia kazi mbalimbali kwenye computer. 

Nikaanza kunyata taratibu kuelekea mlangoni, huku karatasi ya barua ile nikiwa nimeikunja vizuri na kuibana kwenye kiganja changu. Nikashika kitasa na kukifungua kisha kuuvuta mlango na kuuachia mpaka mwisho. Nilimwangalia boss, na alikuwa amenyanyua uso wake akishangaa. Huenda alitegemea kuna mtu angeingia, lakini hakuingia mtu yeyote. Akaanza kumwita Magda akifikiri ni yeye ndiye alifungua mlango. Magda aliingia na boss akamuuliza anataka nini. Akamjibu kuwa hakuufungua, kisha boss akaanza kumfokea.

"Kwa hiyo unasema me ni mjinga au?" akamwambia kwa ukali.

"Ha..pana, boss. Namaanisha...."

"Mlango umefunguka na nimekwambia usinisumbue mpaka nimalize kazi zangu. Bichwa lako hilo lina nini siku hizi? Kama umechoka kazi...." 

"Hapana boss, hapana. Sitarudia. Nisamehe. Haitatokea tena," Magda akasema huku akionyesha wasiwasi.

"Em' ondoka, usinikere me sa'hivi," boss akamfukuza.

Magda alianza kuuelekea mlango ili atoke, nami nikatoka upesi na kujibanza pembeni ukutani. Akafunga mlango na kwenda kuketi mezani kwake. Nilimtazama kwa huruma sana. Nilijisikia vibaya kwa kuwa kwa asilimia kubwa mimi ndiye niliyesababisha arushiwe lawama isivyo haki. Bila shaka kwa jinsi alivyoonyesha unyenyekevu, nilitambua kuwa na yeye anahitaji sana kuendelea na kazi; kama Justine. Nikampita taratibu huku nikiona sura yake iliyokuwa na huzuni ikiendelea kuangalia computer yake.

Nilitembea kwa uangalifu na kurudi chooni kule. Nikafika na kusema maneno yangu yale ili nirudi katika hali ya kuonekana, kisha nikaanza kurejea kwenye meza yangu ya kazi kabla sijadisiwa na mtu yeyote. Nilipokaribia meza yangu, nilimwona boss akiwa amesimama na Justine upande wa meza yake jamaa. Nikahofia kuwa huenda Justine alikuwa anajisema kuhusu jambo alilofanya, bila kujua kuwa nilikuwa nimemwondolea zari. Nilikwenda moja kwa moja mpaka pale walipokuwa na kusimama kando yao.

"Hakikisha hakuna panya yeyote anaingia hapo. Sitaki sababu zisizo na kichwa wala miguu, nataka ufanye kazi uliyoajiriwa kufanya, umenielewa?" boss akamwambia Justine.

"Sawa boss. Ondoa shaka kabisa, yaani hata mende hatapita," akajibu Justine kwa kujinadi.

Boss akageuka nyuma na kuniona nimesimama hapo. Akanitazama kwa macho ya 'huyu naye vipi?' kisha akanisogelea.

"Na wewe?" akauliza.

"Habari boss. Nilikuwa nakuja kwa Justine kumpatia info fulani muhimu," nikamwambia.

"Ulikuwa wapi?" akauliza.

"Nilikuwa toilet."

"Kwa hiyo info uliyokuja kumpa Justine ni habari za ulichofanya huko chooni?" akauliza.

Nikacheka kidogo na kumfanya boss na Justine wabaki wamenishangaa. Sikuzote tulichukulia mifoko ya boss kama jambo la kutunyamazisha, lakini sasa ilikuwa ni kama ningeweza kujiachia nikiwa mbele yake hasa baada ya kuona alichofanya ofisini kwake.

"Unacheka nini?" akauliza huku amekaza macho.

"Aam... umetoa utani wenye kufurahisha boss, ndiyo maana nikacheka," nikamwambia.

"Kwa hiyo unaniona me kama mtani wako?" akauliza.

"Hapana. Ila unajua kufurahisha," nikamwambia huku nikitabasamu.

Ilionekana kama boss amechanganyikiwa. Hakutegemea ningeweza kuongea naye kwa kujiachia sana. Justine aliachama mdomo wake akishangaa. Boss alinitazama machoni akiwa amekunja sura yake, lakini mimi nikaendelea kutabasamu. Akaanza kuondoka eneo hilo taratibu akiwa makini, huku mimi nikigeuka na kuangalia jinsi kalio lake lilivyonesa-nesa kwa nyuma.

"Oya, hivi umechizi? Haujui hapo anaenda kuandika barua ya kukufukuza kazi?" Justine akasema.

"Ahahah... huyo siyo wa kujisumbua kuandika barua. Kama angetaka kunifukuza angepayuka tu usoni mwangu na kunyoosha mkono wake kuelekea mlangoni. Shika," nikamwambia kisha kumpa barua ile iliyokuwa imekunjwa-kunjwa.

"Nini hiki?" akauliza.

"Zawadi. Na utapaswa uanze kunishukuru kwa kuniletea nyama choma wikiendi kilo moja kwa pesa yako mwenyewe," nikamwambia.

Akaifungua na kuisoma. Akashangaa sana na kunitazama mara kwa mara asiamini alichoona.

"Wo wo wo... nini... ume... umewezaje kuipata hii?" akauliza kwa sauti ya chini.

"Consider tu kwamba me ni Superman, kama ulivyoniita jana," nikamtania.

"A-ah, Tristan... umefanyaje mpaka ukaweza kuipata hii?"

"Nilienda nikambusu kidogo boss kwenye shavu, akaitoa."

"Acha masihara bwana, me unajua...."

"Usijali Justine. Usiwaze tena kuhusu hiyo kitu. Boss hajaiona, hilo nakuhakikishia. Kwa hiyo kuwa na amani maana hatawajibu," nikamtuliza.

"Dah! Yaani sijui hata nisemeje. We... we' mchawi eti? Nifundishe na mimi basi!" akatania kwa furaha.

"Mchawi bila tunguli ndiyo. Boss alikuwa anakwambia nini?" 

"Alikuja kunieleza kuwa nahitaji kufanya mambo mengi zaidi ili kuboresha ulinzi wa mtandao kutokea upande wangu maana anahofia hacking."

"Eee, ni kweli. Nafikiri hata hiki kisa chako kilikuwa kwa sababu hiyo. Boss ana mambo mengi lakini yuko makini."

"Naona sa'hivi umeanza na kumsifia. Mara yuko makini, mara sijui anafurahisha, af' nimeshangaa hajawa mkali kwako. Umempa nini eti?" akauliza kidadisi.

"Achana na mimi wewe. I'm a bad man!" nikajisifu.

"Dah! Haya bana. Yaani aliponifata saa zile nikajua its over. Mapigo ya moyo yalikuwa yanakimbia hatari."

"Usihofu tena. Ila kuwa mwangalifu zaidi, sawa?"

"Mia mia, boy. Sitarudia yaani. Asante sana kunisaidia."

Tuligongeana tano kisha kurudia meza zetu. Mara kwa mara ningekumbukia kilichotokea ofisini kwa boss na kujichekea mwenyewe tu. Alikuwa amenifanya nimchukulie kivingine kabisa tokea muda huo. Sasa nilianza kumwangalia kikawaida tu, kama mwanamke aliye na uhitaji wa kuridhishwa kimahaba na ambaye angefanya lolote ili kujituliza mwenyewe. Labda ile ndiyo ilikuwa njia yake ya kupunguza stress zaidi. 

Nikaendelea na kazi huku mara kwa mara nikim-text Salma kipenzi changu. Hakujibu text yoyote kati ya zote nilizomtumia na kunifanya nikisie kuwa huenda alikuwa bize na kazi zake. Kwa kiasi kikubwa, nilikuwa nimeanza kuchukulia uhusiano wangu na Salma kwa u-serious zaidi.

★★

Tulimaliza kazi na kila mmoja wetu kuondoka kuelekea nyumbani. Nilipofika nje ya geti, niliona gari mbili nyeusi; Noah new model na Kluger zikiwa zimeegeshwa nje pale. Nikawaza kuwa bila shaka wakina Salma walikuwa na wageni, na huenda alikuwa bize na kazi kama kupika na mambo mengine pia. Nikaingia ndani ya geti na kumkuta msichana wao wa kazi akiwa nje anaanua nguo kutoka kwenye kamba. Nikamfata.

"Zaina, mambo?" nikamsalimu.

"Poa. Umerudi?" akauliza.

"Eee, nimerudi, si unaniona?" nikamtania.

Akacheka kidogo na kusema, "Ndiyo. Kazi vipi?"

"Aa, kazi ngumu wewe! Yaani sijala tokea asubuhi maana leo kulikuwa na mambo mengi sana," nikaeleza.

"Pole mwaya. Uende ukapumzike ule sasa," akasema.

"Mmmm... naisikia harufu ya pilau. Umeipika wewe eti?" nikamuuliza huku nanusa hewani.

"Ndiyo, nimesaidiana na da' Salma," akasema huku anatabasamu.

"Kuna wageni nimeona gari zao hapo nje ndo' mmewapikia, siyo?"

"Eee... ni mchumba wa da' Salma na baba yake ndiyo wamekuja," akanitaarifu.

Nilishangaa kiasi lakini sikuonyesha jambo hilo. Nikatoa tabasamu bandia ili nionekane niko kawaida.

"Mchumba... wa Salma?" nikamuuliza.

"Eeee. Walikuwa wamekuja kututembelea leo," akajibu.

"Ahaaa... eh! Sikujua Salma ana mchumba. Anaonekana mdogo sana kufikiria kuolewa."

"Wamepatanishwa majuzi tu. Mchumba wake ni mtoto wa shehe wetu mkuu," akasema.

"Ooooh... sawa. Hongera yake. Na wewe unaolewa lini?" nikajifaraghua.

Akacheka kisha akasema, "Mimi siolewi bwana."

"Iih.. kwa nini sasa?"

"Muda bado. Nataka nifanye kazi nimalize nije kuwa na kwangu. Ndoa baadaye sana," akasema.

"Mh! Haya bwana. Ngoja sasa mie nikapumzike."

"Haya."

Nilipanda ngazi mpaka chumbani kwangu nikiwa nimevunjika moyo kiasi. Kwa vitu vingi, nilitarajia Salma ndiye angekuwa burudisho la moyo wangu, lakini sasa ilionekana kuwa nimeshampoteza. Ni yeye ndiye niliyetaka kumwambia kwanza kuhusu suala langu la kupotea, lakini sasa nikawa nashuku ikiwa kufanya hivyo ingekuwa busara. Aliniambia hakuwa na mwanaume yeyote. 

Unajua ni bora mtu akawa mkweli na mkakubaliana kufikia uamuzi fulani mkiwa kwenye utambuzi wa hali hiyo; kwamba labda kama angekuwa ameshaolewa, ikiwa tungeamua kuendelea na mapenzi au kuacha, ni uamuzi wetu sote maadamu ukweli unajulikana. Lakini kitendo cha kunidanganya sikukipenda. Ila bado sikutaka kumjaji vibaya kwa kuwa sikujua upande wake wa story ulikuwaje.

Nikaoga tu na kuanza kuandaa chakula cha usiku. Nilijitahidi kufanya mambo ambayo yangesaidia nipotezee suala la Salma, lakini sikuweza kujizuia kumfikiria sana. Nilishika simu yangu mara kadhaa nikitaka kumtumia ujumbe, lakini nikawa naacha. Nilitaka kujifanya kama sijui kinachoendelea, hivyo nikaamua niache mpaka akinitafuta mwenyewe kwa kuwa meseji ya mwisho niliyomtumia wakati natoka kazini, nilimwambia akiwa huru anitafute. 

Wakati nafanya maandalizi ili nianze kula, simu yangu ikaita. Niliichukua na baada ya kuona jina, nikatabasamu kidogo kisha kupokea.

"We' pimbi, niaje?" nikasema baada ya kupokea.

"Sana tu boss. Huonekani siku hizi," akajibu.

"Mambo mengi sana huo muda wa kuonekana nautoa wapi? Na uko sahihi maana sa'hivi nina uwezo wa kutoonekana kabisa," nikamtania.

"Hahahah... nakubali. Sasa, nilikuwa nahitaji ushuke huku tuzungumze kidogo bro," akaniambia.

"Enri umeanza mambo yako. Siwezi kuja sasa hivi, nimetoka kazini nimechoka, hata sijala."

"Usijali mkubwa, we' kula hata tani 20 kabisa na maji diaba. Me nitakusubiri. Ni muhimu sana bro," akanisihi.

"Ah aisee... haya bwana. Ngoja nipige msosi nije."

"Hayo ndiyo maneno boss wangu. Nakuandalia na pamba za ukweli hapa," akasema hivyo, kisha nikakata simu.

Huyu alikuwa Enrique. Alikuwa ni rafiki yangu wa muda mrefu na nilimjua tokea nikiwa mdogo. Alikuwa na biashara kubwa ya duka la fashion; nguo za wanaume na wanawake za kila aina, viatu, na hata alishiriki kwenye maonyesho ya wanamitindo kama 'designer.' Alifahamiana na mama yangu pia kwa kuwa alimtengenezea nguo mara nyingi zenye ubora wa hali ya juu. Ilikuwa imepita muda mrefu tokea mara ya mwisho tulipoongea, na sasa alinihitaji tukazungumze, kwa hiyo bila shaka nilijua ingekuwa muhimu. Nilimheshimu kwa kuwa kiumri aliniacha kidogo.

★★

Nilimaliza kula na kusafisha vyombo kisha nikavaa nguo za kutoka. Nilitupia T-shirt nyeupe iliyobana na kufanya kifua kichoreke vizuri, jeans ya samawati na sneaker nyeusi zenye mistari myeupe kwa chini. Nilitoka pale geto na kuelekea getini, huku nikiona watu kadhaa ndani kwao Salma. Nikajua bado familia ya mchumba ilikuwepo, hivyo nikaosha zangu tu.

Nikachukua bodaboda na kuelekea mpaka kwenye duka la Enrique. Lilimeremeta kwa taa nyingi na mapambo yaliyowaka-waka huku yakiwa na maneno. Sikumbuki mara ya mwisho kufika hapo, ila ni kama palikuwa pameongezeka ukubwa. Niliingia ndani na kupishana na watu wengi. Kihalisi, halikuwa kama duka, lilikuwa kama soko fulani la fashion lenye vitu vingi sana, au mall. Alikuwa ameajiri watu kadha wa kadha walioshughulikia mambo vizuri sana. 

Kwa kuwa nilihisi uchovu, sikuwa na wakati wa kutazama sana sehemu hii, nikaelekea moja kwa moja mpaka kwenye ofisi ya Enrique. Nilipomuulizia, nikaambiwa hayupo pale bali alikuwa upande mwingine akihudumia mteja wake. Nilijua lazima mteja huyo angekuwa muhimu mpaka amtoe Enrique mwenyewe ofisini kwake.

Nikaelekea upande ule na kufika sehemu yenye nguo nyingi na vito  vya wanawake (jewelries). Kwa kuwa mdada wa mapokezi alinifahamu, aliniruhusu niingie baada ya kusalimiana naye. Alinielekeza kuwa Enrique alikuwa anamhudumia mteja kwenye chumba cha kubadili mavazi cha wateja, nami nikaelekea hapo. Kulikuwa na stand nyingi zilizowekewa nguo mbalimbali zilizoonekana nzuri na zenye gharama. Nikajua bila shaka hapa ilikuwa sehemu ya wateja wenye pesa zaidi.

Nikasogea mpaka karibu na mlango wa hicho chumba. Hakikuwa chumba kikubwa, ila ni kipana vya kutosha ambacho nafikiri hata wanamitindo wangeweza kubadilishia mavazi na kujipamba. Nilisita kidogo kabla ya kutaka kuingia, kwa kuwa huenda alikuwa anabadilishia nguo mwanamke na isingekuwa adabu kuingia tu. Mlango ulikuwa wazi na nikataka kuugonga pale Enrique alipokuja kwa nje. Alikuwa ameweka simu sikioni akionekana kuongea na mtu. Lakini aliponiona, akamwambia mtu wa kwenye simu asubiri kidogo.

"Aah, Tristan umefika! Naomba unipe dakika chache kuna mtu naongea naye mara moja ni muhimu sana. Shika hii hapa umsaidie huyu mtu ndani, nakuja sasa hivi... eeh hallo, bado nakupata..." akasema mambo hayo haraka-haraka huku akinipa nguo mkononi na kuanza kuondoka.

Sikupata hata nafasi ya kumjibu maana sikuzote alifanya mambo upesi. Kila jambo kwake lilikuwa "muhimu," na mara nyingi niliposikia akisema muhimu nilijua tu ni mtu mwenye pesa ndiye anaongelewa. Sasa alikuwa amenipatia kazi ya kumsaidia huyo mtu ndani. Nilihisi kukerwa kiasi lakini nikaamua tu kuingia humo ndani.

Baada ya kuingia, nilisimama kidogo kutokana na kushangazwa kiasi na kilichokuwa mbele yangu. Alikuwa ni mdada fulani mwenye ngozi nyeusi akiwa amesimama na kunipa mgongo. Alivalia suruali ya skinny nyeusi iliyochora hips zake vyema na kulionyesha kalio lake kubwa kiasi lililonogesha umbo lake. Hakuwa amevaa kitu chochote kwa juu; mgongo wake ulikuwa wazi kabisa. Niliweza kuona jinsi chupi aliyovalia kwa ndani ilivyojichora vyema kwenye suruali aliyovaa.

"Harakisha bwana, me nasikia njaa," akasema bila kutazama nyuma.

Nikageuka nyuma na kuangalia kama kuna mtu mwingine, lakini hakukuwepo. Nikatambua alikuwa akiongea na mimi, lakini sikuelewa alimaanisha nini. Nilipoangalia nguo alizonipa Enrique, nikakuta ni sidiria mbalimbali. Kwa haraka nikajua kuwa, huyu mteja alitaka kupatiwa sidiria ambayo ingemfaa, kwa hiyo bila shaka Enrique alipaswa kumsaidia kuchagua na kubadilisha. 

Nikamsogelea karibu kisha nikakohoa kidogo ili kumfanya ageuke, naye akageuka. Niliweza kuona kwa upande matiti yake yaliyotuna kiasi, lakini nikajitahidi kumtazama usoni na kutoyaangalia sana.

"Mbona unajichelewe...." 

Alikuwa ameanza kusema hivyo, kisha akaacha na kunitazama kimaswali. Bila shaka haikuwa mimi aliyetarajia.

"Mambo vipi?" nikamsalimu.

"We' ni nani?" akauliza. 

"Me ni...." 

"Aargh... I don't care. Just do your job," akanikatisha.

Nikapandisha nyusi zangu juu na kutoa macho kwa kushangaa. Huyu demu anafikiri mimi ni mfanyakazi hapa, hivyo akanitaka nimfanyie huduma haraka ili aondoke. Hakuonyesha kusumbuliwa hata kidogo na uwepo wangu ndani hapa wakati akiwa kifua wazi. Hivyo nikaamua kuwa mpole na kusogea karibu yake zaidi.

"Aam... ungependa rangi gani?" nikamuuliza kana kwamba niliyajua hayo masuala vizuri.

"Sitaki maswali, just find something that will fit me," akatoa maneno.

Kwa kumwangalia, niliwaza kuwa huyu lazima angekuwa mtoto wa mtu mwenye pesa, na mara nyingi wanakuwaga wana nyodo kwa sababu ya pesa za wazazi wao. Nikajichekea kwa chini na kisha kuanza kutafuta sidiria nzuri ili nimpe avae. Nilitoa ya rangi ya kahawia na kuona itafaa.

"Okay. Nimepata hii hapa," nikamwambia huku nikimnyooshea mkono aichukue, yeye akitazama mbele.

Alikuwa kama anajipaka lipstick sijui, maana aliinamisha-inamisha uso wake kuelekea kioo ukutani. Kisha akanyanyua mikono yake kidogo, kunionyesha kwamba anataka nimpitishie sidiria kwa chini. Nilipendezwa na jinsi alivyojiamini. Nikasogea na kuipitisha kwa chini na kuanza kumvalisha. Alikuwa akijiangalia tu na kuirekebisha kwa mbele huku akiyanyanyua-nyanyua matiti yake kuona kama yalikaa sawa. 

"Hapo vipi?" nikamuuliza.

"Mbaya. Nipe nyingine," akasema kama amekerwa.

Ijapokuwa hali hii ilionekana kusisimua, hakikuwa kitu kilichonileta hapa. Nilianza kuona kama Enrique alikuwa ananipotezea muda wangu na nikataka kumwambia huyu dada mimi sifanyi kazi hapo. Lakini kwa jinsi umbo lake lilivyokuwa zuri, nikasema siyo mbaya, wacha nitumie hii fursa kupoteza muda mpaka Enrique akimaliza kuongea na simu na kurejea. Nikaendelea kumbadilishia sidiria kadhaa na yeye akaendelea kuzikataa tu.

"Unataka ipi sasa?" nikamuuliza baada ya kuanza kukerwa.

"Me ni B'cup. We' hujui unachopaswa kufanya?" akaniuliza.

"Me sijui hayo masuala bwana. Me naona zote ni yale yale tu," nikamwambia.

"We' kama nani unaniongelesha hivyo?" 

"Okay fine. Najua B'cup ni nini. Na umekosea... we siyo B'cup," nikamwambia.

"Excuse me? Mimi naujua mwili wangu vizuri kuliko wewe kaka."

"Excuse me, wewe unachofanya ni kusumbua tu watu. Hii hapa ndiyo itakutoshea vizuri. Unapenda vitu fancy wakati haviendani na wewe. Ngoja nikuonyeshe," nikampa ukweli huku akiwa ananishangaa.

Nilimgeuza mgongo wake, na sasa miili yetu ikatazamana. Nikamwekea sidiria ile kifuani kwake kisha kuzungushia mikono yangu mgongoni mwake ili niifunge. Kitendo hiki kilifanya niwe kama nimemkubatia, na sasa niliweza kuliona kalio lake kwa ukaribu zaidi kutokea mgongoni mwake likiwa limetokeza kidogo kwa nje upande wa juu wa suruali yake ya skinny. 

Kifua changu kiliyabana matiti yake ambayo bado yalikuwa wazi. Kisha baada ya kumfunga, nikajitoa begani kwake taratibu na kumtazama usoni. Alikuwa akiniangalia kwa macho yaliyoonyesha kuchanganywa na jambo nililofanya. Kisha nikaanza kumpandishia sidiria yake taratibu ili ifunike matiti yake na kufanya vidole vyangu visugue kidogo chuchu zake zilizosimama. Kuna hisia fulani zilianza kupanda ndani yangu na kufanya mashine yangu ianze kuvimba. Aliendelea kuniangalia tu machoni, nami nikamwangalia pia. Nikamshika mabegani taratibu, kisha nikamgeuza ili ajiangalie kwenye kioo.

"See. Perfect," nikamwambia.

Alijitazama, halafu kupitia kioo akanitazama kwa nyuma. Nikamwangalia na kuachia tabasamu dogo, lakini yeye akaendelea tu kuniangalia. Nilijua tu kuwa hapo nilikuwa nimemweza, na kihedehede kilikuwa kimemtoka. Akanionyeshea nguo fulani pembeni na kuniambia nimpe ili avae. Nilipoichukua, nikaona nimfanyie uchokozi ili nijue niliikoleza akili yake kufikia wapi.

Nikasogea mpaka karibu kabisa na kalio lake kwa nyuma na kuligusa kwa mashine yangu iliyovimba ndani ya suruali. Akageuza kichwa chake kuniangalia, na sasa nilikuwa karibu naye sana kiasi kwamba tulitazamana huku pua zetu zikikaribia kugusana. Niliwaza kuwa jambo nililofanya lilikuwa la kitoto, lakini bado lilinisisimua na kufanya mashine yangu ivimbe zaidi. Nafikiri alitambua hili, lakini hakuonyesha jitihada yoyote ya kutaka kujitoa. Aaa, hapo nikajua huyu maji meupe tu. Ubishoo na nyodo nyingi kishenzi lakini ukimwekea muhogo anasinyaa!

Nikaanza kumvalisha kiblauzi chake chepesi na kumwachia amalizie mwenyewe, kisha mimi nikarudi nyuma kidogo. Kwa kumwangalia usoni, hakuonekana kuwa mkubwa kiumri kama alivyokuwa mkubwa kimwili. Alipojiweka sawa, aligeuka kunitazama, kisha nikamwonyesha kwa kidole azunguke ili ajiangalie tena kwenye kioo. Hakutoa kipingamizi na kujiangalia tena. Kupitia kwenye kioo, aliweza kuniona nikimfanyia kwa mkono ishara ya 👌, kumaanishia alipendeza, huku nikiwa nimefumba jicho moja. Sasa hakuweza kulizuia tena tabasamu lake. Akatabasamu kidogo na kuendelea kujiangalia kwenye kioo.

"Sarah, umemaliza?" 

Ilisema hivyo sauti ya mtu aliyeingia ndani humo ghafla. Niligeuka na kushtuka kidogo baada ya kukutana na uso ambao sikuutarajia.

"Tristan?" akauliza akiwa ameshangaa.

"Boss?" nikamuita nikiwa nimeshangaa pia.

"Unafanya nini hapa?" akaniuliza.

"Mommy, unamfahamu?" yule dada, Sarah, akamuuliza boss hivyo.

Nikamgeukia "Sarah" huku nikiwa nimeshangaa kidogo. "Mommy?" nikauliza kisha kumtazama tena boss.

"Ndiyo. Ni mfanyakazi kwenye kampuni yetu. Hujanijibu Tristan, unafanya nini hapa?" akasema boss huku akisogea zaidi.

"Aam..." nilikuwa nataka kujieleza pale Enrique alipoingia ndani humo pia.

"Oh, Tristan afadhali bado upo," akasema baada ya kuniona.

"Huyu anafanya nini hapa? Alikuwa peke yake kwenye changing room na mwanangu!" akasema boss kwa mkazo.

"Mommy hamna shida, alikuwa akinisaidia kuvaa," akasema Sarah.

"What?! Yaani...." akashangaa boss.

"Siyo unavyofikiri. Nilikuwa namsaidia selection na...."

"Shut up! Unawezaje kuingia humu na kufanya unachotaka bila kuwa mhusika? You're a pervert!" akanilaumu.

"Now, now, madam calm down. Usiongee na huyu kijana namna hiyo. Huyu ni...." 

Enrique alikuwa hajamaliza kusema alichotaka kusema, nami nikamtikisia kichwa kumzuia asiendelee.

"Aa... samahani boss. Me nimekuja hapa kuchukua mzigo na sasa nikaingia humu bila kutarajia. Sorry for that," nikamwelezea boss.

Nilimgeukia Sarah na kumwambia 'sorry' pia, naye akawa amenikazia macho tu. Nikatoka ndani humo na kuanza kuondoka lakini nikasimamishwa na Enrique aliyekuwa akiniwahi.

"Wapi sasa Tristan?" akaniuliza.

"Naenda nyumbani. Umeniita halafu unanibambika mikazi. Ndo' ulichoniitia?" nikamuuliza pia.

"I'm so sorry Tristan, yaani... mambo mengi yanazunguka sana kijana wangu kwa hiyo nakuwa natangatanga sana kiakili," akaeleza.

"Okay sawa. Lakini usisahau nilikwambia usiwe unanitendea hivi. Huku niko tofauti, hizo vibe unazotoa sizipendi."

"Okay, sawa. Sema ni kujisahau tu. Aam... nilikuita hapa... kwa ajili ya ile ishu," akaniambia.

"Umemaliza tayari?" nikashangaa.

"Najua ilikuwa muda mfupi tu, lakini, mambo yalikwenda sideways yaani hasa kwa kuwa...."

"Lakini si unapokea wateja wengi Enri, tena wenye pesa, shida inakuwa wapi?"

"Sina utumizi mzuri... sitakataa. Ila nakuahidi, hii ndiyo itakuwa mara ya mwisho. Please Tristan," akanisihi.

"Okay fine. Nita..angalia cha kufanya," nikalegeza kidogo.

"Asante sana bro. You are the best. Yaani kama ni mbinguni, unaingia ya 18!" akaanza kunisifia.

"Usiwahi kutoa sifa, nimekwambia nitaangalia cha kufanya. Halafu umenichomesha vibaya sana hapo ujue," nikamwambia.

"Kwani huyo mmama mnafahamiana naye?" akauliza.

"Nafanya kazi kwenye kampuni yake. Ni boss wangu."

"Aaaa kumbe... dah! Basi pole. Af' Tristan we' mnyenyekevu sana, ndo' maana nakupenda. Ni mteja wangu huyo. Ananitoaga sana, ana tuhela hela, ndo' maana namnyenyekeaga na mimi ili nimlambe."

Nikacheka kidogo na kumuuliza, "Kwo' huyo demu mwingine ni mtoto wake ukweli? Anaonekana mkubwa."

"Ndiyo. Ni mwili tu, yuko kwenye miaka kumi na tisa. Anamdekeza huyo kama nini."

"Kumi na tisa! Siyo poa."

"We' acha tu, an ana skindindi kama lote. Jinsi walivyo na mama yake kama Paula na Kajala. Af' Paula mtoto mkali yule! Vanny anakojolea pazuri sana," akatania na sote tukacheka.

Ni wakati huu ndipo boss na mwanae, Sarah, walitoka na kuanza kuja upande wetu. Walipofika karibu, Sarah alikuwa akijifanya kama hanikazii fikra kwa kuangalia pembeni, lakini nilimwona jinsi alivyokuwa anakwepesha macho yake kila nilipomwangalia. Boss alikuwa amevalia skinny nyeusi pia na T-shirt ya njano. Kumwona namna hii kulianza kunikumbusha kamchezo kake ka leo asubuhi. Nikatabasamu na kutazama pembeni.

"Asante Riq, you're the best," akamshukuru Enrique huku akimpatia pesa.

"Anytime, madam, anytime," akamjibu.

Alinitazama kifupi, kisha akanipita bila kunisemesha lolote, huku Sarah akifata nyuma yake. 

"Daaah! Bro, em' cheki hizo weze matata. Wakubwa wanafaidi," akatania Enrique baada ya sisi sote kuwasindikiza kwa macho.

Wakiwa wanatoka mlangoni, Sarah alisimama kidogo na kugeuka kuniangalia. Macho yake yalionyesha upendezi fulani ambao nilijua bila shaka ulichochewa na kale kamchezo nilikomfanyia dakika chache mapema. Kisha akaondoka kumwahi mama yake.

"Mtoto anaonekana kakuelewa jembe langu," akasema Enrique.

"Eee nimeona. Lakini me sina time naye huyo," nikamwambia Enrique na kisha tukaagana nami nikaondoka kuelekea nyumbani.

Ilikuwa mida ya saa 4 usiku nilipofika ghetto kwangu. Niliingia na kuwasha TV na kuweka katuni. Nilipoangalia simu, nikakuta meseji kutoka kwa marafiki kadhaa lakini hakukuwa na text wala missed call yoyote kutoka kwa Salma. Niliwaza kuwa huenda hii ndiyo ilimaanisha nimempoteza kabisa; milele. Nikaanza kufikiria labda nitumie nguvu yangu ya kupotea ili nikamchungulie, lakini nikaona itakuwa ni kulazimisha jambo lisilohitaji ulazima. 

Nikajitoa akili na kumtumia text fupi, 'goodnight my dear,' kisha nikaweka simu pembeni na kuendelea kutazama runinga. Mpaka inafika saa 6, Salma hakujibu hata kidogo. Nikajiona mpuuzi tu kukaa nikisubiri maelezo kutoka kwa mtu ambaye bila shaka nilikuwa nimeshampoteza. Hivyo nikaandaa nguo za kesho na kuingia zangu kupiga usingizi.


★★★


Asubuhi kama kawaida niliamkia kujisafisha na kuvaa ili niwahi kazini. Niliisafisha akili yangu yote juu ya mawazo ya Salma, na kujiahidi kukazia fikira mambo mengine ili nisishuke moyo. Nilifika ofisini na kuanza kazi kama kawaida. Lakini baada ya muda mfupi kupita, wafanyakazi wengi wa pale, kutia ndani mimi, tulishtushwa na sauti za boss akiwa anafokea mtu kule juu kama kawaida yake. Wengi walikuwa wakitaka kujua aliongea na nani, na kuhusu nini. Baada ya muda mfupi, aliacha kufoka na sehemu ile ikawa tulivu. 

Hazikupita dakika nyingi, nami nikamwona Magda akishuka kutoka juu ya ngazi akiwa amebeba mkoba wake na boksi dogo mkononi. Jambo hilo lilishangaza wengi, na baadhi yao wakamfata kumuuliza nini kiliendelea. Alishindwa hata kuongea vizuri kwa kuwa alikuwa akilia. Alitoka tu nje na kuondoka. Niliwaza ikiwa jambo lililompata linahusiana na mimi kuingia ofisini kwa boss na kuitoa barua ile, na sasa kama lilisababisha Magda afukuzwe kazi, nisingejisikia vizuri hata kidogo.

Nikatoka hapo ndani na kumwahi Magda nje kabla hajafika mbali, kukuta amesimama upande wa mbele wa jengo lililopakana na jengo la ofisi zetu akiita bodaboda. Nikafika alipo na kumzuia kwanza ili niongee naye.

"Magda tafadhali. Niambie nini kimetokea," nikamsihi.

"Kwa kweli Tristan inaumiza. Nimejitahidi kwa muda mrefu kuvumilia ila hapana... sasa nimechoka. Ananiambia kuwa nimemwibia pesa zake, kwamba nazitumia kwa ajili ya umalaya tu. Mimi, nasubiri mshahara wangu mdogo huo ili angalau ni-provide kwa ajili ya mwanangu, halafu ananikashfu kwa makosa yake mwenyewe? Aah... hapana," akaeleza huku akionekana kuwa na hasira sana.

"Unamaanisha nini makosa yake mwenyewe?" nikamuuliza.

"Huwa anacheza kamari. Sasa mara nyingi akishinda utaona anavyokuwa na furaha, lakini akishindwa anatafuta sababu ya kulaumu mtu mwingine kwa kuwa anachezea hela za kampuni. Na anapoteza nyingi," akaeleza.

"Kwa hiyo, umeacha kazi?"

"Hapana, amenifukuza. Ananiita malaya na mwizi, eti kwa kuwa namtunzia siri basi ni mimi ndiye nimeiba million 25! Ningekuja kazini kama ningekuwa nimeiba hiyo hela?!"

"Jamani! Pole sana Magda. Ila usijali. Kila kitu kitakuwa sawa. Nenda nyumbani kapumzike, tutaongea baadaye. Nitakupigia," nikajaribu kumtuliza.

Alipanda tu bodaboda na kuondoka akiniacha namsindikiza kwa macho. Jambo hili lilinitia hasira sana. Mwanzoni nilikuwa hata najiuliza kwa nini nilikasirika hivi, ila sasa nilitambua nilipaswa kumsaidia dada huyo na sababu ilikuwa moja; alikuwa na mtoto. Nilijua kwa kiasi fulani maisha yake, na nilijua alitazamwa na watu wengi. Singeweza kuacha aonewe namna hiyo. Hivyo, nikarudi ofisini mara moja.

Nilipanda moja kwa moja hadi ofisini kwa boss. Nikagonga mlango wake naye akaniruhusu kuingia. Alikuwa amesimama pembezoni mwa meza yake na alikuwa amevalia blauzi yenye maua iliyofunika suruali ya skinny nyeusi kufikia kwenye mapaja yake na viatu vya kuchuchumia (heels). Nikasogea mbele yake na kumsalimia.

"Habari yako boss," nikaanza.

"Sema shida yako," akajibu.

"Shida yangu... nataka umrudishe kazini Magda," nikasema kwa uthabiti kabisa.

"Eti? Em'... em' rudia sijakusikia," akaongea kwa kejeli.

"NATAKA UMRUDISHE MAGDA KAZINI," nikarudia kwa mkazo.

"Unataka?! Wewe kama nani?" akauliza.

Nikamsogelea mpaka karibu zaidi na kumwambia, "Mimi kama Tristan."

Aliniangalia huku akinishusha na kunipandisha kwa macho yake, kisha akaanza kucheka kwa dharau. 

"Kwa hiyo umekuja kujifanya 'hero' hapa kwa ajili ya huyo malaya wako sivyo? Una hadhi gani wewe ya uthubutu wa kuniambia mimi, ndani ya kampuni yangu...." 

"Hii siyo kampuni yako. Hauko hata kwenye ukaribu wa kurithishwa," nikamkatisha.

"How dare you!" akasema kwa hasira na kutaka kunipiga kofi, lakini nikaudaka mkono wake na kuusukuma pembeni. 

Alishtuka sana. Sikuwa na chembe hata kidogo ya woga kumwelekea, na kufikia hapa nilijua vizuri jinsi ya kushughulika naye. Akavuta simu ya mezani ili awapigie walinzi, lakini nikapeleka mkono wangu kwenye kitoweo chake juu ya suruali yake na kukiminya kwa nguvu bila kukiachia. Akaachama na kugandisha mkono wake ulioshika simu hewani, kisha akanitazama akiwa ameganda hivyo hivyo.

Nikamsogelea karibu na mdomo wake zaidi.

"Tulia, na unisikilize kwa makini. Unachofanya ni jambo baya sana. Unamwonea mtu mwingine kwa makosa yako mwenyewe, huku ukiwa hauna habari ni jinsi gani unayaharibu maisha yake. Magda ana mtoto, mama yake ni mgonjwa, anaangaliwa na ndugu na dada zake aikimu familia. Unafikiri atafanya nini?" nilimwambia huku bado nimekikaza kitoweo chake. 

Sasa akashusha mkono wake na kushika meza huku akipumulia juu juu.

Nikaendelea, "Hebu fikiria ikiwa ingekuwa ni wewe ndiyo umefanyiwa hivyo, na Sarah bado ni mdogo. Unafikiri maisha yake yangekuwaje kama usingeweza kumhudumia? Hizi mali unazofurahia ni za muda tu, kwa sababu maisha ni mafupi..." 

Nikaachia kitoweo chake na kuanza kuingiza kiganja changu ndani ya suruali yake. Alitazama chini huku akishangaa, nami nikakitelezesha kiganja moja kwa moja hadi ndani ya chupi yake na kukishika kitoweo chake. Nikaanza kukipa massage taratibu huku akiwa ameniangalia kwa macho legevu. 

"Najua ni stress za familia, ila wewe ni mtu mzuri. Badilika wakati bado ni mapema. Tafadhali nakuomba, mrudishe Magda kazini... miss Ritha."

"Na nisipofanya hivyo?" akajibu kibabe huku macho yake yamelegea.

Nikatabasamu na kumwambia, "Ninaweza kumshawishi Magda aku-sue kwa sababu umemfanyia defamation of character. Na nitavujisha video zako ukifanya masturbation kila siku humu ofisini," nikamtisha kinamna hiyo.

Macho yake yalitanuka kimshangao. Hakuweza kuelewa nilijuaje kuhusu mchezo wake mtamu alioufanya humu ofisini mwake. Lakini sikuwa na video yoyote, nilitaka tu kumwonyesha kuwa kwa jambo hili, mwenye nguvu zaidi ilikuwa ni mimi. Nikaingiza kidole changu cha kati ndani ya kitoweo chake kwa nguvu na kumfanya akeme kimya kimya.

"Sssss... hhah!" 

Alitoa sauti hiyo huku akiniangalia machoni kama mtu anayetaka msaada wa hali na mali. Kisha nikakitoa ndani yake na kuutoa mkono wangu ndani ya suruali yake taratibu. Aliendelea kunitazama machoni huku ameachama mdomo wake. Nikakipeleka kidole hicho ndani ya mdomo wake na kumlambisha umate mate wa kitoweo chake mwenyewe. Alibaki kunitazama tu kwa butwaa. Nikaachia tabasamu dogo na kisha nikaondoka kwenye ofisi yake.

Nilijua jambo nililofanya lilikuwa lenye uhatari, lakini bado nilijiona kuwa sahihi na kusubiria matokeo yangekuwaje. Baada ya kurudi kwenye meza yangu, niliketi na kuendelea na kazi huku bado nikimuwaza Magda. Niliomba Mungu jambo nililotoka kufanya kwa boss liwe na matokeo mazuri ambayo yangemfaidisha yule dada.

Yakapita kama masaa mawili hivi, pale nilipopata text kwenye simu yangu. Nikaichukua na kukuta ujumbe ulitoka kwa boss.

'Njoo ofisini sasa hivi' ulisomeka hivyo.


★★★★★★★★★★

 ITAENDELEA

★★★★★★★★★★

Previoua Next