Alijitahidi kadri ya uwezo wake kuweza kupambana nao lakini hali haikuwa shwari kibaya zaidi hakuwa na siraha ya baridi tofauti na wale maninja ambao wanatumia katana(upanga)
Japokuwa Jimmy alikuwa akijua mbinu nyingi za kimapigano ikiwema Ninjitsu lakini mbinu ya Shadow step hakuweza kuitumia licha ya kufundishwa na Mzee Momochi kifupi hakufanikiwa kui-master kutokana kutokuwa serious nayo, na kingine ni kukosa uzoefu wa mapambano. Kuna utofauti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments