Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Upande wa Jenerali hakuwa na mabadiliko yoyote zaidi ya kutoa tabasamu tu maana alishaizoea hali hiyo kutoka kwa mwanae.

"Wewe mtukutu ifike muda uonyeshe heshima kwa wakubwa zako" aliongea Jenerali huyo na kumpotezea

Aliwaangalia wengine walioko lakini zaidi macho yake yalitua kwa Jimmy ambaye pia alikuwa akimuangalia

"Samahanini kwa ujio wangu wa ghafla mahali hapa sijaja kwa kutibua amani bali nimekuja kwa nia njema kabisa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next