Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Roma alitoka kazini muda wa tisa kamili na kwenda moja kwa moja mpaka nyumbani , baada ya kufika na kusalimiana na Bi Wema moja kwa moja aliingia kwenye chumba chake kwa aili ya kupumzika , huku akiwaza aende kiwanja gani cha bata , baada ya lisaa limoja la kupumzika , simu yake ilitoa mwanga kuashiria kuna ujumbe ulikuwa umeingia , aliichukua na kuutazama na kisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next