Roma aliendesha gari kama kichaa , uzuri ni kwamba barabarani hakukuwa na magari mengi , alitumia dakika chache tu kufika ndani ya Kibaha na kukunja kushoto barabara ya vumbi kama vile alikuwa akielekea Bagamoyo nyuma ya kiwanda cha kuunganisha magari na akasonga mbele.
Alikuja kusimamisha gari yake mita mia moja kutoka kilipokuwa kilipo kiwanda hiki cha kuunganisha magari na kisha alisimama huku akiangalia eneo ambalo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments