Reader Settings

Ingawa alijua alikuwa amemkosea Bi Mirum, lakini kitendo cha kufukuzwwa alijenga kinyongo.

Kwa Bibi yake Irene kutojihusisha tena na familia ya Regina ilikuwa ndio tamanio lake kubwa.

Ndio hivyo tu mambo yadunia hayawezi kuamuliwa na matumaini pekee, kwasababu kivuli cha asili yake ya bondeni hakikuwa kimempotea.

“Kwa maana hio , Irene ni mdogo wangu wa damu, yaani binamu?”Aliuli8za Regina na wakati akiongea maneno hayo moyo …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next