Ilikuwa ni muda wa asubuhi ya saa mbili Roma alionekana akiendesha gari kwa spidi akielekea maeneo ya Mbagala , baada ya kuupiga mwendo kwa madakika kadhaa alikuwa mbele kabisa ya nyumba ya Rose , alipiga honi na mlinzi alifungua na Roma akaingia ndani na kwenda kugesha gari , baada ya kutoka aliingia ndani ya jumba hili ambalo lilikuwa kimya mno kwani Rose alikuwa akiishi yeye …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments