Mpango wa Subira.
Wakati Hamza akionyesha hali ya usiriasi, upande wa Mathias Huge hakuwa na nia ya kushindana na Hamza, na aliishia tu kuonyesha muonekano wa kawaida.
“Nadhani, Bro, umepanga kuwalinda Regina na Irene kisawasawa?”
“Kama sitaki kuwalinda, unataka nikupatie mke wangu na shemeji yangu kwa ajili ya kwenda kufunua hayo maajabu yako ya kijinga kuhusu Worldless Book? Mathias, ulikuwa na akili kumuua Zabo kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments