“Sitaki kulisikia”
Hamza hakujali bwana huyo anataka kuongea nini , yeye alikuwa akifurahia hisia nzuri za kupigana hivyo hakutaka pambano lisitishwe. Pia hakuwa na uhakika kama anaweza kumuua ila alihisi itakuwa vizuri kama akimpa kibano cha kueleweka.
Mathias Huge uso uligeuka wa kijani , hajawahi kuona mtu mpuuzi kama Hamza anaetaka kupigana bila sababu , yaani yeye kama mkuu wa Binam,Bondeni na Gwiji mwenzake hataki …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments