Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MASTER MBALE

Hamza, wakati akiangalia taarifa hizo kutoka kwenye Earth Axis, aligundua kulikuwa na mbinu nyingi mno kiasi kwamba alishindwa kuelewa.
Ilikuwa kana kwamba alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi, halafu ghafla mbele yake ikawekwa silabasi ya chuo kikuu.

Hamza alijua kuwa kupitia mbinu hizo kulikuwa na njia nyingi za kumsaidia Madam Wadeni, lakini msingi wake wa sayansi ulikuwa dhaifu. Hivyo, hata kama kulikuwa na mbinu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next