NITALALA NA WEWE MKE WANGU
Palepale alisogea kwa kasi kumlenga Hamza , siraha yake ilitengenza duara la ajabu hewani kutokana na ukali wa mbinu aliokuwa akitumia. Ilionekana alikuwa akitumia na nishati za mbingu na ardhi kwa wakati mmoja na kufanya mashambulizi yake kuwa makali maradufu.
Hamza ni kama alikuwa akikwepa vivuli vya upanga kwa kwenda mbele nyuma , kushoto na kulia kwa ustadi wa hali …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments