PAYMENT NIGHT (USIKU WA MALIPO)
USIKU WA MALIPO Kijana Godwin Aswile "Nanga" anayakimbia maisha magumu ya kijijini kwao na kuingia jijini Dar es salaam kutafuta maisha. Maamuzi โฆ
USIKU WA MALIPO Kijana Godwin Aswile "Nanga" anayakimbia maisha magumu ya kijijini kwao na kuingia jijini Dar es salaam kutafuta maisha. Maamuzi โฆ
Ndani ya nchi ya Sayadi watu maarufu wanapotea au kufa kwa vifo vya kutatanisha. Kijana Kadhar ametoka kijijini kuja mjini kutafuta maisha, โฆ
Kundi fulani la wadhalimu linafanya kazi ya kuua watu wa familia tajiri na kumiliki mali zao kwa lazima, huku wakiishia kuwanyanyasa watu โฆ
Ni kisa kinahusu maisha ya mwanasheria Thomas Kiwato, alipohitimu masomo yake nchini CANADA. Alirudi nyumbani nchini Tanzania kukabiliana na wimbi kubwa la โฆ
Mauaji mfululizo yanatokea kwenye eneo la mwekezaji, koplo wa jeshi la polisi Ayubu Kibona anagundua kuwa kumbe kila maiti huwa inatolewa viungo โฆ
ROHO ZA MABINTI SITA ni riwaya inayohusu maisha ya Noel Fabian Makuga alipoamua kupambana na kundi la mabinti sita walioataka kuliteka jiji โฆ
Ni hadithi kali inayomhusu mwanaume kijana mmoja, kijana wa kawaida, mwenye hasira, chuki, makosa, aliyeelekea kupoteza njia yake. Mpaka usiku mmoja jambo โฆ
Kwa sababu ya mapenzi, Kijana Jesto Jimmyson ambaye ni Mwanafunzi wa chuo kikuu anajikuta anahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kusingiziwa amemuua โฆ
HIKI NI KITABU CHA PILI CHA IMPINDISELO
DAKIKA YA 98' (NANI ANAHUSIKA?) Miaka tisa toka kilipotokea kifo cha rais Mabelo Babo Nzibazozina nchini Tanzigar, kitengo cha usalama wa taifa โฆ
I AM THE SYSTEM- MIMI NI MFUMO Mwaka 1980, raisi wa Tanigaza aliketi na watu wake wa siri kujadili maisha ya baadae โฆ
Idaiwe Maiti Yangu Season 2 โ Gavin Luca Katika Idaiwe Maiti Yangu, tulimfahamu Gavin Luca, lakini alibaki kuwa na hali ya kutatanisha. โฆ
Nchi fulani ndani ya story inakumbwa na maadui wasio na nguvu zisizo za kawaida wakitaka kuitawala nchi. Mtu mwenye nguvu zaidi ni โฆ