EltonTonny

2
Followers
3
Votes

Log in to interact

About Me

Hello! I'm a writer on FasihiNet, passionate about creating compelling stories that transport readers to new worlds.

Habari! Mimi ni mwandishi hapa jukwaa la FasihiNet, kazi yangu ni kuhakikisha msomaji unaburudika na kujifunza kwa wakati mmoja. Naomba mchango wako kwa kufungua baadhi ya kurasa za simulizi yangu nilizofunga🙏.

đź”” Make sure to follow me to get live updates on my latest novels and chapters as soon as they're added!

Mawasiliano

📞 Kwa mawasiliano zaidi, unaweza kunitafuta kupitia WhatsApp: +255678017280

đź“§ Au unaweza kunipata kupitia barua pepe: [email protected]

Simulizi zangu:

INVISIBLE
Ni hadithi yenye kusismua inayomhusu mwanaume kijana anayejitahidi kuishi maisha rahisi na yenye usawaziko, lakini yanampa mkondo tofauti kabisa kwa …
CHANGE (BADILIKO)
Ni hadirhi inayohusu wanawake wawili wanasheria walio marafiki wa damu, wanapokutana na mwanaume aliye na maisha yaliyojaa siri nzito sana zinazokuja…
MIMI NA MIMI
Simulizi yenye kusisimua kuhusu maisha halisi ya mwanaume kijana wa kitanzania anayekwenda likizo kutafuta wakati mzuri. Huko anakutana na watu, visa…
DOSARI
Mwanamke mmoja kijana asiye na maisha yenye uwezo wa hali ya juu anajikuta ndani ya changamoto nzito zaidi kwenye maisha yake baada ya mzazi wake kuu…
FOR YOU
Vijana wawili mapacha kutoka katika familia ya Meja wa kijeshi, wanajikuta ndani ya sintofahamu baada ya jambo lisilotazamiwa kusababisha miili yao i…