KabatiGodlove360

1
Followers
0
Votes

Log in to interact

About Me

Hello! I'm a writer on FasihiNet, passionate about creating compelling stories that transport readers to new worlds.

Habari! Mimi ni mwandishi hapa jukwaa la FasihiNet, kazi yangu ni kuhakikisha msomaji unaburudika na kujifunza kwa wakati mmoja. Naomba mchango wako kwa kufungua baadhi ya kurasa za simulizi yangu nilizofunga🙏.

🔔 Make sure to follow me to get live updates on my latest novels and chapters as soon as they're added!

Mawasiliano

📞 Kwa mawasiliano zaidi, unaweza kunitafuta kupitia WhatsApp: +255763204351

📧 Au unaweza kunipata kupitia barua pepe: [email protected]

Simulizi zangu:

SHAMBA LA HELA
Katika maisha yake ya kawaida ya kila siku ya utafutaji.
Kijana Feruzi anajikuta akikosea kona na kuangukia pua dhidi ya watu hatari...

Watu ambao w…
KIKAO CHA HAKI
Haujawahi kuwa mchezo salama kabisa.

Ni mchezo ambao kama ukiucheza na hujui kanuni zake...basi utapata majuto na maumivu.

Wengi wameutungia nyimbo…