@Mr. Mkamilifu
Storyteller • Dreamer • Writer
Log in to follow or vote
Naam mimi mwandishi wa simulizi zihusuhuzo siri, mafumbo na kubwa zaidi ni kuhusu Mysticism (Maarifa ya kiroho) Kwa kifupi mimi ni mwandishi wa simulizi za fantasia zilizo na uhalisia mkubwa. Napenda kusimulia hadithi kwa maandishi! Nataka niwaonyeshe ulimwengu wa kushangaza na kuburudisha, na ni ulimwengu upatikanao kwenye simulizi. Karibuni ndugu wasomaji.