Mr. Mkamilifu
Naam mimi mwandishi wa simulizi zihusuhuzo siri, mafumbo na kubwa zaidi ni kuhusu Mysticism (Maarifa ya kiroho) Kwa kifupi mimi ni mwandishi wa simulizi za fantasia zilizo na uhalisia mkubwa. Napenda kusimulia hadithi kwa maandishi! Nataka niwaonyeshe ulimwengu wa kushangaza na kuburudisha, na ni ulimwengu upatikanao kwenye simulizi. Karibuni ndugu wasomaji.
-
Mr. Mkamilifu
SIMULIZI KALI INAYOKWENDA KUFUMBUA BAADHI YA MAMBO AMBAYO NI SIRI KWA WENGI
Naam kama kichwa cha habari inavyosema hapo juu, ni simulizi ambayo inakwenda kwa jina la I WITNESSED IT ALL..
Dakika 2 za kusoma